Kwanini CUF kina Wabunge wawili tu huku Tanzania bara?

mshikachuma

JF-Expert Member
Dec 2, 2010
2,853
626
Kama kweli CUF ni chama makini,kwanini kina mbunge wa kuchaguliwa mmoja tu huku bara?
Tena mbunge mwenyewe ni albino aliyepata kura kwa huruma ya wakazi wa Lindi mjini. Swali langu ni -
Kama CUF wanajisifia kwa kufanya vizuri kwenye midaharo mbona hawana wabunge wa kuchaguliwa huku bara
zaidi ya huyu mmoja aliyepata ubunge kwa huruma ya wananchi wa Lindi mjini?
 
Huna habari lilikuwa moja ya masharti ya CUF ili kuisaidia CCM kwenye uchaguzi mkuu angalau iwe na wabunge bara.
 
CUF huku bara wana wabunge wawili,tena wote kutoka mkoa wa Lindi....mh Barwany(lindi mjini) na mwingine Kilwa(somebody Bungara).
 
Kama kweli CUF ni chama makini,kwanini kina mbunge wa kuchaguliwa mmoja tu huku bara?
Tena mbunge mwenyewe ni albino aliyepata kura kwa huruma ya wakazi wa Lindi mjini. Swali langu ni -
Kama CUF wanajisifia kwa kufanya vizuri kwenye midaharo mbona hawana wabunge wa kuchaguliwa huku bara
zaidi ya huyu mmoja aliyepata ubunge kwa huruma ya wananchi wa Lindi mjini?

Hii thread ya kibaguzi imepenyaje jukwaa la siasa? Unamdhalilisha ndugu yetu mwenye ulemavu wa ngozi.

Kingine sio kweli CUF ina mbunge moja tu, navyojua mimi CUF ina wabunge wawili
 
Labda niseme hivi kuwasaidia

Afadhali CUF wana wabunge wawili wa kuchaguliwa Tanzania bara na wabunge wengi Zanzbar wameonyesha ni Wa Tanzania..

Je kwanini chadema hawana mbunge wa kuchaguliwa hata moja Zanzibar (0)??
 
Acha Ubaguzi, Sio Kama alipewa Ubunge Kwa Vile ni Albino bali watu walimkubali, huo ndio ubaguzi tunauogopa kwa watu cdm hivi hakuna njia yakufanya siasa za ustaarabu?
 
Huwa nawashangaa CDM eti wanataka kuchukuwa nchi utachukuwa nchi na Wabunge 23?
 
Labda niseme hivi kuwasaidia

Afadhali CUF wana wabunge wawili wa kuchaguliwa Tanzania bara na wabunge wengi Zanzbar wameonyesha ni Wa Tanzania..

Je kwanini chadema hawana mbunge wa kuchaguliwa hata moja Zanzibar (0)??
Kwanini CCM haina mbunge Pemba? kwanza Zanzibar ni nchi ya kiislamu hakuna haja.
 
Hawa Wachagga CDM watu wabaya sana si mnaona wanavyowabagua Malbino! Halafu ndio mtasema hichi chama ni cha watanzania.
Angalieni hizi kauli. Mungu ibariki Tanzania
 
Hii thread ya kibaguzi imepenyaje jukwaa la siasa? Unamdhalilisha ndugu yetu mwenye ulemavu wa ngozi.

Kingine sio kweli CUF ina mbunge moja tu, navyojua mimi CUF ina wabunge wawili
Hapo kwenye Red, mie sijatamka hayo maneno' wewe ndiye wasema.
Na huyo mbunge wa pili ni wakuchaguliwa na wananchi? anaitwa nani na wajimbo gani?
 
Kwanini CCM haina mbunge Pemba? kwanza Zanzibar ni nchi ya kiislamu hakuna haja.

Afadhali umesema ukweli...

Kwa hiyo nyinyi hamuhitaji wa waislamu kwenye chama chenu au siyo? nawasikitia wale makamu wa rais wa slaa na wengine wanaojipendekeza kina zitto, arfi, safari etc..
 
Sisi hatubembelezi mataahira yanayotumiwa.
 
Labda niseme hivi kuwasaidia

Afadhali CUF wana wabunge wawili wa kuchaguliwa Tanzania bara na wabunge wengi Zanzbar wameonyesha ni Wa Tanzania..

Je kwanini chadema hawana mbunge wa kuchaguliwa hata moja Zanzibar (0)??
Sawa ninyi ni watu makini na chama chenu kilikuwa popular kabla ya CDM. Sasa imekuwaje leo mpitwe na CDM?
Kwanini mnawabunge 2 tu wakati wenzenu CDM wana wabunge 23 wa kuchaguliwa? kweli nyie mnaweza jifananisha na CDM?
 
Kama kweli CUF ni chama makini,kwanini kina mbunge wa kuchaguliwa mmoja tu huku bara?
Tena( "mbunge mwenyewe ni albino aliyepata kura kwa huruma") ya wakazi wa Lindi mjini. Swali langu ni -
Kama CUF wanajisifia kwa kufanya vizuri kwenye midaharo mbona hawana wabunge wa kuchaguliwa huku bara
zaidi ya huyu mmoja aliyepata ubunge kwa huruma ya wananchi wa Lindi mjini?
Mbunge mwenye ni Albino.
Haya maneno ni mazuri unaona? Mungu ni mkubwa bado unaishi kaka!
 
Hawa ndio CDM bana wanajiona wamekamilika kila kitu.
Sasa mambo ya Albino yametoka wapi? Nyie Wachagga wabaguzi sana
 
Wewe jamaa kumbe huwa mbaguzi sana! Albino sio mtu? Kumbe CDM ni chama cha Wakiristo wa Tanzania Bara
Anhaaa....mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu? Na wale jamaa waliowaambia waislaam wa Igunga wasichague CDM walikuwa na maana
gani? au wewe unaangalia kwa jicho moja tu? hujui kuwa ule ndiyo ubaguzi mkubwa uliyokubuhu na hatari kwa Taifa letu? shame on u
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom