Kwanini Couple ya akina The Bold na Nifah inakubalika na kuwa na mvuto kuliko zilizokuwepo humu JF?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
59,949
119,214
Je......
  1. Damu zao zimeendana?
  2. Wameridhiana Kimahaba?
  3. Wana Mapenzi ya dhati?
  4. Hawajadanganyana kama sisi Mangumbaru / Hohehahe wengine tunaorukaruka tu?
  5. Wamerogana na labda Uchawi au umegongana hivyo hakuna awezaye kuchomoka?
  6. Nyota zao zimelalia upande mmoja?
  7. Mwenyezi Mungu aliwaanda muda mrefu tu ila wao hawakujua mapema?
Karibuni nyote mliobobea / mliotukuka katika Elimu nzima ya Mapenzi mtupe ujuzi wenu tafadhali kwani kuna wengine humu Couples zetu hazina tofauti na uwanja wa vita au yanayotokea huko nchini Syria ( namaanisha ni za hovyo hovyo tupu )

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom