Hello, natumaini wengi wetu tuko na amani, tuko salama, Pole kwa wagonjwa wote popote Tanzania na nje pia!!
Nataka kusema kidogo sana juu ya kwanini Consultancy firm zipo. Nazungumzia kampuni au hata washauri waelekezi binafsi katika nyanja mbalimbali za kimaendeleo. Hata humu JF mara nyingi tu naona THREADS za kampuni zenye mlengo huu. Imani yangu kuwa hao wote wako vema tu na wanatumia fursa na weledi walionao ili kutaka kusogeza gurudumu la maendeleo lao wenyewe, wateja wao na taifa kwa ujumla.
Kwangu mimi naona sababu za kuwepo wadau hawa wa maendeleo ni kama ifuatavyo, na ruksa kuongezea unazofikiri pasipo kuwa na mtazamo hasi juu yao, kwakuwa inawezekana wengine wana leta shidaaaa!!
Ni harakati za kujiajiri na kuajiri wengine (hasa kwa registered firms)
Ni fursa ya kurahisisha pilika za kimaisha kwa watu wengine- mf kuokoa muda nk
Husaidia ufanisi katika kufanikisha mikakati ya kimaendeleo (hata kama mteja ana ufahamu kiasi)
Husaidia kuleta ukombozi wa fikra (hasa wanao toa stadi na mafunzo ya muda mfupi)
Husaidia kuibua Fursa mpya za kimaendeleo
Husaidia kupunguza usumbufu wa baadhi ya mamlaka (mf chukulia masuala ya sheria nk)
Hizi ni baadhi tu ambazo sisi KIMI DEVELOPMENT CONSULT LTD huziona katika utekelezaji wa shughuli zetu.
7. Huongeza weledi katika kazi
9. Hutengeneza mtandao wa biashara miongoni mwa wateja wako wanaofanya biashara/kazi zinazotegemeana
10. Kujenga uelewa sahihi katika masuala mbalimbali
11. Usalama wa kazi na pesa ya mteja. KARIBU ANJOA COMPANY LIMITED (BUSINESS CONSULTANCY COMPANY)