China tayri ni giant duniani hakuna wa kumstopisha hakuna wa kumuogopa ndyo maana marekani anaangaika Tu kuweka vikwazo kwenye makampuni yake Ila stage alivyofika China marekani kashachelewa maana teknolojia, ushawishi, pesa vyote amevishika na kibaya zaidi ni Kwa bei nafuu bidhaa zake unazipata