Kwanini chakula Cha MSIBANI ni kitamu?

"chakula cha msibani ni kitamu ikiwa tu kama hakijapikwa kwenu"
Kuna msemo unasema hivyo. 👆🏽

Na uzuri ni kwamba kila familia itapata msiba, it's just a matter of time. .
Muda ukifika, kila mmoja atajua kama ni kitamu au sio kitamu.

na kama mtu hatopata msiba, it means that yeye ndo kawa msiba na watu watakuwa wamekusanyika kwa ajili yake.
 
Subiri ufe wewe wakati wanakula Cha kwako ndio ujue
 
Chawa wako tukuka nipo hapa🤣
Kuna siku nililewa nilitaka kufanya upumbavu wa kumwaga hela humu kwa atakae patia herufi ya jina langu la kwanza kwa watu 20 , nilikua nimeahidi nawapa 200k kwa kila mmoja nashukuru sana mods ule uzi haukupanda😂

Na ni baada ya nyumbu mmoja kuniita jobless 😭😭
 
Mods nawapa NB ya Mh Sugu🤣🤣🤣

Maana lazima ningepatia. Ningefungua na id zingine 10.
 

Misiba mingine hadi unaomba kuongeza jinsi menu ilivyo heavy!
 
Mk
MKuu ngoja siku tukija kwako kwenye msiba wa first born wako ndio tutajadili hili.

Tutaomba utueleze kama ubwabwa wa hapo nyumbani kwako ni mtamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…