Inyimwe mara ngapi?Chadema wanataka Tanzania inyimwe misaada kwanini?
Tanzania kama nchi nyingine za Afrika zinahitaji misaada ili kutoa huduma kwa wananchi. Unapozouia misaada maana yake unadhamiria kuwanyima watoto huduma za chanjo, matibabu na elimu. Unawanyima wananchi huduma za barabara, madaraja na pembejeo. Hasara kubwa sana kwa wananchi kuliko kwa viongozi. Je, Lisu ana thamani hiyo?
Nijuavyo mimi kuinyima serikali misaada kutoka kwa wahisani kunasababisha yafuaatayo:
1. Watanzania kuichukia chadema kwa shida zitakazojitokeza. Watanzania wana akili.
2. Huduma kwa wananchi zitapungua idadi, ukubwa na ubora.
3. Watanufaika zaidi majeshi kuliko watu wengine (kipaumbele kitakuwa hawa kwanza)
4. Kodi zinaongezeka ili kuziba pengo la ukosefu wa misaada
5. Miradi ya kimkakati ichachelewa kumalizika.
Jiulize, kwanini Zimbabwe imewekewa vikwazo lakini bado serikali ipo? Je, Shivangilai na chama chake wapo vilevile?, Iran je? Urusi je?
Kifupi kupiga debe nchi inyimwe misaada haimsaidii mpiga debe na wala hawaumizi watawala, bali wananchi wenye vyama na wasiokuwa na vyama.
Tangu lini ex wakoloni wakakupa msaada wa maana?. Tanzania kunyimwa hii misaada ya kinafiki kutoka kwa mabeberu ndio kifo cha chadema Tanzania. Hata Nabii Suleiman kama angekuwa hai angewapa CCM nchi (mtoto) waendelee kuiongoza. Chadema kuomba nchi inyimwe misaada hawana tofauti na yule mama aliyesema bora mtoto afe kwenye ile kesi ya mama wawili waliokuwa wanagombania mtoto aliyehai.Inyimwe mara ngapi?
mauji yapi? wananchi wameridhia mauaji yale. Waliouliwa hawakufuatwa majumbani mwao wakauliwa bali walikuwa wanavunja, kuiba na kuchoma moto TRA, Bank, sheli, vituo vya polisi, ofisi za serikali, miundombinu, nk.chadema inahusika vipi na mauaji? Hamumjui mchawi wenu chawa kila "ntu" ashinde mechi zake, muue wenyewe mkikaliwa kooni na mabeberu wenu muitafute chadema alaaah! Msijali wapo kina rostamu, harbinder, gsm, na wengine muwaite tu tena watasaidia then muwape rasilimali zaidi
Mabeberu wamegoma rushwa zamu hii, kombo bado yupo kwnye makorido dc anatafuta watakaopokea mzigo 😛 😛
Mwaka huu mnalo libebeni tu wandugu
CCM ndio imetaka inyimwe msaada na kuwekewa vikwazo kwa matendo yake na serikali yake.Tanzania kama nchi nyingine za Afrika zinahitaji misaada ili kutoa huduma kwa wananchi. Unapozouia misaada maana yake unadhamiria kuwanyima watoto huduma za chanjo, matibabu na elimu. Unawanyima wananchi huduma za barabara, madaraja na pembejeo. Hasara kubwa sana kwa wananchi kuliko kwa viongozi. Je, Lisu ana thamani hiyo?
Nijuavyo mimi kuinyima serikali misaada kutoka kwa wahisani kunasababisha yafuaatayo:
1. Watanzania kuichukia chadema kwa shida zitakazojitokeza. Watanzania wana akili.
2. Huduma kwa wananchi zitapungua idadi, ukubwa na ubora.
3. Watanufaika zaidi majeshi kuliko watu wengine (kipaumbele kitakuwa hawa kwanza)
4. Kodi zinaongezeka ili kuziba pengo la ukosefu wa misaada
5. Miradi ya kimkakati ichachelewa kumalizika.
Jiulize, kwanini Zimbabwe imewekewa vikwazo lakini bado serikali ipo? Je, Shivangilai na chama chake wapo vilevile?, Iran je? Urusi je?
Kifupi kupiga debe nchi inyimwe misaada haimsaidii mpiga debe na wala hawaumizi watawala, bali wananchi wenye vyama na wasiokuwa na vyama.
Tindwa mtangazaji wa clouds alikua amekaa kibarazani kwake akapigwa risasi bora acha upumbavu kwenye maisha ya watu. Polepole na Kibao walienda nao kuiba vituo vya mafuta Kama hamna hoja kaeni kimya sio kuanzisha nyuzi ambazo hazina maanamauji yapi? wananchi wameridhia mauaji yale. Waliouliwa hawakufuatwa majumbani mwao wakauliwa bali walikuwa wanavunja, kuiba na kuchoma moto TRA, Bank, sheli, vituo vya polisi, ofisi za serikali, miundombinu, nk.
Hakuna mwananchi analalamika kwanini waliuliwa kwakuwa sababu ya kuuliwa wanaifahamu.
Sasa ukishindwa kuipindua nchi ndio unakasirika? Yaani ukishindwa kuniroga mimi mchawi?
Tanzania kama nchi nyingine za Afrika zinahitaji misaada ili kutoa huduma kwa wananchi. Unapozouia misaada maana yake unadhamiria kuwanyima watoto huduma za chanjo, matibabu na elimu. Unawanyima wananchi huduma za barabara, madaraja na pembejeo. Hasara kubwa sana kwa wananchi kuliko kwa viongozi. Je, Lisu ana thamani hiyo?
Nijuavyo mimi kuinyima serikali misaada kutoka kwa wahisani kunasababisha yafuaatayo:
1. Watanzania kuichukia chadema kwa shida zitakazojitokeza. Watanzania wana akili.
2. Huduma kwa wananchi zitapungua idadi, ukubwa na ubora.
3. Watanufaika zaidi majeshi kuliko watu wengine (kipaumbele kitakuwa hawa kwanza)
4. Kodi zinaongezeka ili kuziba pengo la ukosefu wa misaada
5. Miradi ya kimkakati ichachelewa kumalizika.
Jiulize, kwanini Zimbabwe imewekewa vikwazo lakini bado serikali ipo? Je, Shivangilai na chama chake wapo vilevile?, Iran je? Urusi je?
Kifupi kupiga debe nchi inyimwe misaada haimsaidii mpiga debe na wala hawaumizi watawala, bali wananchi wenye vyama na wasiokuwa na vyama.
Wanachadema, wanaCCM na wasiokuwa na vyama wote kwapamoja itatupata hasara ya kunyimwa misaada, ispokuwa wale tu ambao watoto wao hawako Tz kama vile Lema, Lisu, Heche, nk. Wakati watoto na wajukuu wetu wakikosa chanjo wao watoto wao hawakumbani na kadhia hiyo.chadema inahusika vipi na mauaji? Hamumjui mchawi wenu chawa kila "ntu" ashinde mechi zake, muue wenyewe mkikaliwa kooni na mabeberu wenu muitafute chadema alaaah! Msijali wapo kina rostamu, harbinder, gsm, na wengine muwaite tu tena watasaidia then muwape rasilimali zaidi
Mabeberu wamegoma rushwa zamu hii, kombo bado yupo kwnye makorido dc anatafuta watakaopokea mzigo 😛 😛
Mwaka huu mnalo libebeni tu wandugu
mauji yapi? wananchi wameridhia mauaji yale. Waliouliwa hawakufuatwa majumbani mwao wakauliwa bali walikuwa wanavunja, kuiba na kuchoma moto TRA, Bank, sheli, vituo vya polisi, ofisi za serikali, miundombinu, nk.
Hakuna mwananchi analalamika kwanini waliuliwa kwakuwa sababu ya kuuliwa wanaifahamu.
Sasa ukishindwa kuipindua nchi ndio unakasirika? Yaani ukishindwa kuniroga mimi mchawi?
Gentleman,Tanzania kama nchi nyingine za Afrika zinahitaji misaada ili kutoa huduma kwa wananchi. Unapozouia misaada maana yake unadhamiria kuwanyima watoto huduma za chanjo, matibabu na elimu. Unawanyima wananchi huduma za barabara, madaraja na pembejeo. Hasara kubwa sana kwa wananchi kuliko kwa viongozi. Je, Lisu ana thamani hiyo?
Nijuavyo mimi kuinyima serikali misaada kutoka kwa wahisani kunasababisha yafuaatayo:
1. Watanzania kuichukia chadema kwa shida zitakazojitokeza. Watanzania wana akili.
2. Huduma kwa wananchi zitapungua idadi, ukubwa na ubora.
3. Watanufaika zaidi majeshi kuliko watu wengine (kipaumbele kitakuwa hawa kwanza)
4. Kodi zinaongezeka ili kuziba pengo la ukosefu wa misaada
5. Miradi ya kimkakati ichachelewa kumalizika.
Jiulize, kwanini Zimbabwe imewekewa vikwazo lakini bado serikali ipo? Je, Shivangilai na chama chake wapo vilevile?, Iran je? Urusi je?
Kifupi kupiga debe nchi inyimwe misaada haimsaidii mpiga debe na wala hawaumizi watawala, bali wananchi wenye vyama na wasiokuwa na vyama.
Sentensi ya kwanza ni kama vile misaada haina maana. Sentensi ya pili inalalamika kunyimwa misaada. Tukuelewe kwa lipi?1. Tangu lini ex wakoloni wakakupa msaada wa maana?.
2. Chadema kuomba nchi inyimwe misaada hawana tofauti na yule mama aliyesema bora mtoto afe
Hata mimi nilikoswakoswa na risasi baada ya kukaidi amri ya kubaki ndani. Amani ilitulemaza, nilikuwa nikidhani wanatania tu.Tindwa mtangazaji wa clouds alikua amekaa kibarazani kwake akapigwa risasi bora acha upumbavu kwenye maisha ya watu. Polepole na Kibao walienda nao kuiba vituo vya mafuta Kama hamna hoja kaeni kimya sio kuanzisha nyuzi ambazo hazina maana
Mkongwe kama ww kuleta upuuzi kama huu hapa ni aibuTanzania kama nchi nyingine za Afrika zinahitaji misaada ili kutoa huduma kwa wananchi. Unapozouia misaada maana yake unadhamiria kuwanyima watoto huduma za chanjo, matibabu na elimu. Unawanyima wananchi huduma za barabara, madaraja na pembejeo. Hasara kubwa sana kwa wananchi kuliko kwa viongozi. Je, Lisu ana thamani hiyo?
Nijuavyo mimi kuinyima serikali misaada kutoka kwa wahisani kunasababisha yafuaatayo:
1. Watanzania kuichukia chadema kwa shida zitakazojitokeza. Watanzania wana akili.
2. Huduma kwa wananchi zitapungua idadi, ukubwa na ubora.
3. Watanufaika zaidi majeshi kuliko watu wengine (kipaumbele kitakuwa hawa kwanza)
4. Kodi zinaongezeka ili kuziba pengo la ukosefu wa misaada
5. Miradi ya kimkakati ichachelewa kumalizika.
Jiulize, kwanini Zimbabwe imewekewa vikwazo lakini bado serikali ipo? Je, Shivangilai na chama chake wapo vilevile?, Iran je? Urusi je?
Kifupi kupiga debe nchi inyimwe misaada haimsaidii mpiga debe na wala hawaumizi watawala, bali wananchi wenye vyama na wasiokuwa na vyama.
Yaani kubwa zima ndevu hadi mkunduni linaleta utopolo kama huu.Mkongwe kama ww kuleta upuuzi kama huu hapa ni aibu