😎😎😎😎"Mimi ndie raisi sipangiwi napanga nani awe wapi nani afanye nini najiamini huu utawala wangu sio wakujaribiwi ukinijaribu oohh wai utapoteza kabisa, kamata mpk na gari lake likake lock up" baadhi ya nukuu za anaelaumiwa au huelewi bado
Siyo kidogo ni aibu tupuKweli kabisa, mapumbafu kabisa!
Mazwazwa...
Sent from my Diamond Crypto using JamiiForums mobile app
Kwasababu hao wote wanasema wametumwa na rais.Inakuwaje wanawavuka woote kuanzia Mkuu wa Polisi (Wilaya, Mkoa, Taifa) , Mkuu wa Wilaya, Mkuu wa Mkoa, Waziri na kumlaumu Raisi wa nchi?
Chadema hata akishikwa na Trafiki na kupigwa faini, anamlaumu Raisi wa nchi, ...
Wakisema hivyo huwa wanajisikia wamesteam out their accumulated frustrations.Inakuwaje wanawavuka woote kuanzia Mkuu wa Polisi (Wilaya, Mkoa, Taifa) , Mkuu wa Wilaya, Mkuu wa Mkoa, Waziri na kumlaumu Raisi wa nchi?
Chadema hata akishikwa na Trafiki na kupigwa faini, anamlaumu Raisi wa nchi!
Mbona Mbowe halaumiwi kwa matendo ya Tundu Lisu, Lema, Sugu &Co.? , ...
Achana nao hao wamechanganyikiwaInakuwaje wanawavuka woote kuanzia Mkuu wa Polisi (Wilaya, Mkoa, Taifa) , Mkuu wa Wilaya, Mkuu wa Mkoa, Waziri na kumlaumu Raisi wa nchi?
Chadema hata akishikwa na Trafiki na kupigwa faini, anamlaumu Raisi wa nchi!
Mbona Mbowe halaumiwi kwa matendo ya Tundu Lisu, Lema, Sugu &Co.? , ...
I wish I could be igp.Inakuwaje wanawavuka woote kuanzia Mkuu wa Polisi (Wilaya, Mkoa, Taifa) , Mkuu wa Wilaya, Mkuu wa Mkoa, Waziri na kumlaumu Raisi wa nchi?
Chadema hata akishikwa na Trafiki na kupigwa faini, anamlaumu Raisi wa nchi!
Mbona Mbowe halaumiwi kwa matendo ya Tundu Lisu, Lema, Sugu &Co.? , ...