Zee la kitaa
JF-Expert Member
- Oct 25, 2017
- 403
- 211
kwa kuwa malaika ndio chanzo cha idadi kubwa ya wanachama kufukuzwa. Kwa hiyo hataki kukusolewa ama kuambiwa lolote?Chadema mwenyekiti wake ni malaika.
Samahani mkuu hili ni swali?,ukitoa hio alama ya kuuliza utapata jibu lako kwa usahihi kabisa.kwa kuwa malaika ndio chanzo cha idadi kubwa ya wanachama kufukuzwa. Kwa hiyo hataki kukusolewa ama kuambiwa lolote?
Una uliza auWewe upo chadema?
Ishu sio wao kufukuzana, kuna nguvu kubwa wanapambana nayo kutoka nje.Hiyo ndio formula ya vyama vya siasa vya upinzani Tanzania na wao Mda wao ndio umefika wa kufanya hayo
NCCR ilivyofika ktk pick walifukuzana
CUF ilivyofika katika pick walifukuzana
Sasa ni zamu ya CHADEMA maana wao ndio wapo katika pick
Mbunge wa CHADEMA usipo jiweka carantine unafukuzwa uanachama
Ka hiyo kutokukaa quarantine ni kinyume cha katiba ya chadomo?Kwn ccm wao huwa hawafukuzani?? kwahiyo mtu akienda kinyume na katiba ya chama aachwe tu??? Kwn maisha hayaendi bila kuitaja au kuiandika chadema???
Ni kula kinyesiKa hiyo kutokukaa quarantine ni kinyume cha katiba ya chadomo?
Mr T.5 Trilion alipopotea na CAG aliondolewa.Chadema mwenyekiti wake ni malaika.
Pigia mstari mkuu, na ndio jibu uliloulizakukosa weredi katika kuongoza chama husika.
Chadema hamna mtu aliyefukuzwa. Mlifanya maigizo ya kuwafukuza baada ya kujua wameshaondoka. Nani akae katika mazingira ya kisiasa kama yale?Kwn ccm wao huwa hawafukuzani?? kwahiyo mtu akienda kinyume na katiba ya chama aachwe tu??? Kwn maisha hayaendi bila kuitaja au kuiandika chadema???
Mbona mnalalamika sasa wkt majibu mnayoChadema hamna mtu aliyefukuzwa. Mlifanya maigizo ya kuwafukuza baada ya kujua wameshaondoka. Nani akae katika mazingira ya kisiasa kama yale?