kwanini CHADEMA wameshikwa na kigugumuzi???

kwanini CHADEMA wameshikwa na kigugumuzi???

Chadema wanawaachia uwanja mtoe mpaka uongo wa mwisho,mpakazie mpaka mwisho

mwishowe wawararue,wadhihirishe uongo wenu achilia mbali uhusika wenu

ccm/serikali mngekua na akili, mngenyamaza kujilinda na kusutwa baadae
 
soma hii useme nini msanii Mboye au serikali yetu? au nawewe nimiongoni wawale machiz---i wanao vaachupi kichwani kisha wanajisifia . tafakari
Majeruhi mwingine, Abdallah Hilali (39), aliyelazwa katika Hospitali ya Arusha Lutheran Center, amedai kuwa majeraha aliyopata miguuni yametokana na kupigwa risasi na polisi na kudondokewa na vipande vya bomu.

Alisema alikuwa nyuma ya jukwaa kuu akimsikiliza Mbowe na alipomaliza kuhutubia alishuka jukwaani kukusanya sadaka, ndipo alipoona mfuko wa mweusi mdogo wa plastiki ukipeperuka juu.

"Nilidhani ni upepo unapeperusha kitu, lakini ghafla nilisikia kishindo na nikamsikia mama mmoja akipiga kelele kuwa aliyerusha mfuko anakimbia, nilipogeuka nikajikuta nipo chini," alisema Hilali.

Alisema alipokuwa anaangalia aliona kijana mmoja amekaribia kumfikia aliyerusha bomu lakini ghafla akapigwa risasi na kuanguka chini na aliyekuwa anafuatia kwa nyuma naye akapigwa risasi akaona anaruka na kudondoka chini huku damu zikivuja.

"Lakini mwisho wa yote kijana aliyerusha hilo fuko aliingia kwenye gari na kuondoka kwa kasi. Mimi nilikuwa chini," alisema Hilal mbele ya Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, alipotembelea majeruhi hospitalini hapo.

source Mwananchi : 6/18/2013
Mbowe ni msaanii wa kisiasa kawashikia akili Pro-Chadema.
 
Wameshajulikana swala ni kufuata taratibu za kisheria

Sent from my BlackBerry 9800 using Jamie
 
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kama alivyonukuliwa na gazeti la leo la mwananchi ni kuwa chama chake kina ushahidi wa kutosha wa watu waliohusika na tukio la kurushwa bomu katika mkutano wa kampeni wa chama hicho, kama anajua kwanini mpaka sasa yupo kimya?
KAMA WALIPATA UJASIRI WA KUWATAJA HADHARANI MAFISADI WA EPA KWA MAJINA-"LIST OF SHAME"-NAOMBA TUUVAE UJASIRI WA KUWATAJA KWA MAJINA WALIPUAJI WA MABOMU YA ARUSHA!!!Kuwataja HADHARANI ,kutaliokoa Taifa katika hii SINTOFAHAMU-SIONI HAJA YA KURUSHIANA MIPIRA

Sijui kwanini CCM inapenda kuwatumia watu wasio na ufahamu mkubwa kuwa vinara wa maoni yao....ni vipi mtu unaweza kufananisha watuhumiwa wa EPA na walipuaji wa Mabomu suala la uchunguzi wa polisi? ... ushahidi wa mamna unauotaka wewe unawezekana na Mwigulu Nchemba tu....jingine inapnekana wazi kuwa tayari mwelekeo wa upelelezi utalenga kuainisha kuwa CDM ndio wahusika Kama alivyothibitisha Mh. Lukuvi kina Chagonja na wenzake hawatataka kuwa kinyume na kauli ya serikali inayo walipa mishara na kuwaajiri bila kikomo.

EPA halikuwa suala lililofahamika walioliibua ndio waliotakiwa kuwa na ushahidi wa kutosha na lilikua na vielelzo vya maandishi... suala hili linafanyiwa uchunguzi na polisi kuukataa ushahidi ni jambo la kawaida kwani si waliukataa ukweli kwamba Daud Mwangosi hakuuawa na polisi? Kwani ushahidi kamili haukuwepo?
 
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kama alivyonukuliwa na gazeti la leo la mwananchi ni kuwa chama chake kina ushahidi wa kutosha wa watu waliohusika na tukio la kurushwa bomu katika mkutano wa kampeni wa chama hicho, kama anajua kwanini mpaka sasa yupo kimya?
KAMA WALIPATA UJASIRI WA KUWATAJA HADHARANI MAFISADI WA EPA KWA MAJINA-"LIST OF SHAME"-NAOMBA TUUVAE UJASIRI WA KUWATAJA KWA MAJINA WALIPUAJI WA MABOMU YA ARUSHA!!!Kuwataja HADHARANI ,kutaliokoa Taifa katika hii SINTOFAHAMU-SIONI HAJA YA KURUSHIANA MIPIRA

mwaka huu mtaharisha sana. Hii ngoma haikwepeki.
 
Mbona haya huku yasema? kama wewe siyo mnafki na mchakubimbi tena mbeyaaa sana tu. %^)&_&_- yako.

Majeruhi mwingine, Abdallah Hilali (39), aliyelazwa katika Hospitali ya Arusha Lutheran Center, amedai kuwa majeraha aliyopata miguuni yametokana na kupigwa risasi na polisi na kudondokewa na vipande vya bomu.

Alisema alikuwa nyuma ya jukwaa kuu akimsikiliza Mbowe na alipomaliza kuhutubia alishuka jukwaani kukusanya sadaka, ndipo alipoona mfuko wa mweusi mdogo wa plastiki ukipeperuka juu.

“Nilidhani ni upepo unapeperusha kitu, lakini ghafla nilisikia kishindo na nikamsikia mama mmoja akipiga kelele kuwa aliyerusha mfuko anakimbia, nilipogeuka nikajikuta nipo chini,” alisema Hilali.

Alisema alipokuwa anaangalia aliona kijana mmoja amekaribia kumfikia aliyerusha bomu lakini ghafla akapigwa risasi na kuanguka chini na aliyekuwa anafuatia kwa nyuma naye akapigwa risasi akaona anaruka na kudondoka chini huku damu zikivuja.

“Lakini mwisho wa yote kijana aliyerusha hilo fuko aliingia kwenye gari na kuondoka kwa kasi. Mimi nilikuwa chini,” alisema Hilal mbele ya Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, alipotembelea majeruhi hospitalini hapo.

source Mwananchi : 6/18/2013

"aliingia kwenye gari" - source nyingine humu zinaongeza "la polisi":shock:
 
Sijamuelewa jeruhi aliposema kijana aliyemkaribia mrusha bomu alipigwa risasi. Anataka kutuaminisha kwamba yeyote aliyekuwa karibu na mrusha bomu alikuwa mtu mwema, ati yeyote aliyemkimbiza/kumkimbilia mrusha bomu alikuwa raia mwema!
 
Bila shaka ni muhimu CDM wawe strategic. Haiingii akilini kama wanajua alietupa bomu ni askari mwajiriwa wa serikali awe alitumwa na serikali au chuki zake binafsi, jina na picha yake ipelekwe serikalini ili ashughulikiwe. Huko kutakuwa ni kuionyesha serikali ni kiasi gani CDM wanajua au hawajui mpango mzima wa mauaji hayo na kuipa serikali mwanya wa kutengeneza mzengwe wa kuikwepa aibu ya uhusika wao katika hili.
 
Niliwahi kuandika kwamba kama huyu jina lake la watoka Bukoba, Muleba na /au Karagwe basi atakuwa ni wa kwanza kujipendekeza kwa watawala!
Ni lini ushahidi uliwahi kutolewa ukafanyiwa kazi?Rejea ushahidi ulioutaja...
Utampaje ushahidi mtu unayemtuhumu kukuhujumu ili ajishughulikie?!
Utakuwa na akili au uzezeta tu?!
Wewe si mhaya-ni jina tu!
Mpola muno
 
sasa wewe ulitaka chadema wafanye nini? kama walichokisema ni uongo basi serikali ya ccm na polisi wawahoji. Tuache ushabiki siasa chafu itatuponza. jeshi la polisi lisitumike kisiasa
 
avatar137230_1.gif

WE JAMAA NI MFUASI WA CUF ?
 
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kama alivyonukuliwa na gazeti la leo la mwananchi ni kuwa chama chake kina ushahidi wa kutosha wa watu waliohusika na tukio la kurushwa bomu katika mkutano wa kampeni wa chama hicho, kama anajua kwanini mpaka sasa yupo kimya?
KAMA WALIPATA UJASIRI WA KUWATAJA HADHARANI MAFISADI WA EPA KWA MAJINA-"LIST OF SHAME"-NAOMBA TUUVAE UJASIRI WA KUWATAJA KWA MAJINA WALIPUAJI WA MABOMU YA ARUSHA!!!Kuwataja HADHARANI ,kutaliokoa Taifa katika hii SINTOFAHAMU-SIONI HAJA YA KURUSHIANA MIPIRA

Kikwete: Nina majina ya wala rushwa na wauzaji wa madawa ya kulevya! Mpaka leo amempa Mama Salma ayatunze??
 
Back
Top Bottom