Kwanini CHADEMA isiungane na CCM?

Kwanini CHADEMA isiungane na CCM?

Waberoya

Platinum Member
Joined
Aug 3, 2008
Posts
15,157
Reaction score
10,816
Napita mitaa ya Unguja nafika sehemu maarufu ya ofisi ya chama cha mapinduzi na pia ndipo penye kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar. Ni sehemu yenye historia ya pekee, nyumba za jirani na eneo hili, koo na jamii husika za mahali hapa zilizokuwa zina msupport Karume, hata leo zinamkumbuka na kumpenda. Mita chache toka vitongoji hivi, naonyeshwa nyumba ya familia ya mtu aliyemuua Karume, nyumba za mahali hapa , koo zake, na familia zao wanaonekana ndio maadui wa Karume, na hapa ndipo chimbuko la CUF

CUF na CCM Zanzibar sio vyama vya kikawaida, historia zao zinaanzia kwenye familia na koo zao. CUF Zanzibar wana nguvu sana hali kadhalika CCM. Chaguzi mbalimbali za Zanzibar zinaonyesha hivyo, na mara zote japo ilionekana kama CUF inashinda lakini kwa tofauti ndogo sana. Kilichofanyika sasa kuunda serikali ya umoja wa kitaifa ndilo suluhisho pekee lililoifanya kisiwa hiki atleast kuwa na Amani ya kisaisa na kuanzisha sasa VITA ya kidini na kuchukia walio nje ya uislamu, tumesahau mabomu ya machozi ya kila wakati

Hakuna chama chochote cha kisiasa bara ambacho kina historia, nguvu, u ushawishi au level ambapo CUF Zanzibar imefikia..kwa bara hakipo na pengine kisije kuwepo kabisa. NCCR ile ya mwaka 1995 ambayo ilivuna kura nyingi ingeendelea inavyotakiwa pengine tungekuwa mbali. CHADEMA japo imekuwa iking'ara na kuonekana kwenye siasa za kitanzania kama wapinzani, ukilinganisha nguvu zake, uwezo wake, ukubwa wake, iko chini sana ya CCM, iko chini sana pia kwa CUF Zanzibar, they are weaker among weakest hence strongest among weakest

Kwa maana nyingine , mafanikio ya CUF Zanzibar, yanaleta ushawishi na nguvu Zaidi wakitaka kwenda ngazi nyingine nayo ni kuitafuta Zanzibar huru!! Katika hili hata kama CCM –zanzibar inaonekana in supportive ya CCM bara, ukweli uko palepale kuwa hawa watu baada ya muafaka ni kuwa wamekuwa kitu kimoja. Zanzibar wanataka nchi yao, na kwa walipofikia let them be

Tukija bara, kwa bahati mbaya sana, malengo ya UKAWA yanakiimarisha na kukisafisha Zaidi CUF kuliko chadema, chadema is simply dissolving. Kuwa CUF bara kimegubikwa na udini si siri na si aibu kusema hivyo, kusikia maneno ya ‘Takbir' kwenye mikutano ya kisiasa ya CUF sio ajabu!! Majuzi Lipumba alihitimisha kwa kusema walimsaidia Kkwete ashinde kwa sababu ni mwislamu mwenzao!! Those clips are everywhere in the media. Siwezi kuzungumzia status ya NCCR kwa sasa, lakini inavyoonekana ni kuwa mvutano wa CHADEMA NA NCCR jimbo la kawe ndio umepelekea Mbatia kuteuliwa na rais ( chairman wa CCM) kuwa mbunge wa viti maalumu

Moja ya mivutano ya Chadema na zitto ni kukubali kwa zito katika tume mblimbali za kirais, mialiko ya ikulu. Na sijapata au kuelewa kama akitokea leo hii Kikwete akamteua mwana Chadema mmoja kuwa mbunge wa viti maalumu, CDM ingelipokeaje??

Chadema kutambua hilo ikawaita NCCR CCM C, baada ya nafasi ya CCM B kuwa ya CUF. Kwa sababu ile ile na nguvu ile ile CDM ikaunda kambi rasmi na ya pekee bungeni, wakijipambanua kama chama jasiri, waadilifu na wenye mafanikio. Sijaona hawa CDM waliposema kuwa wanaziondoa hizo tuhuma, na wamejiridhisha kuwa hawakuwa sahihi

Muungano wa vyama is highly desirable, very supportive and is brilliant idea ila: who does that, when and how hilo ndilo tatizo Leo huwezi kumtofatisha Mugabe na Museven, kung'ang'ania madaraka, lakini pia huwezi kumtofautisha Lipumba, Mbatia, Mrema, Mbowe , Mtikila kwenye medani za upinzani na kutaka kuwa wenyeviti wa kudumu

Hawa walafi wa madaraka, wanaohukumiwa na historia zao leo ndio wanaunda umoja huu. Umoja huu umeundwa KUUA nguvu ya wataka mabadiliko katika kila ndani ya hivi vyama!!!

Bahati kubwa ya viongozi wa hivi vyama ni bahati ile ile ya CCM!!! CCM wanabahati wanaongoza makondoo, wajinga na watulivu. Vyama vya siasa navyo vina wanachama wenye tabia zile zile, hawawezi kujiuliza, kuuliza, wako kwenye kusifu tu bila kuangalia hatari ya hivi vyama vinakoenda

Kama CDM pamoja na tuhuma zote zile za CUF na NCCR bado leo ni marafiki, basi ni ishara kuwa mko kwa ajili ya kufanya lolote kulinda masahi yenu, and this will be a prime agenda ya CCM kuwananga kwa wananchi. Huwa najiuliza kama muungano huu ugekuwa wa viongozi wenye caliber moja ya uzalendo na sio wenye malengo ya kupiga hela ingependeza sana, mtaka mabadiliko yeyote yule attamani hili!.... tosha sana kusema viongozi wa ukawa ni madikteta ndani ya vyama vyao na hili la UKAWA is a perfect match to protect their interest!

Ndio maana sio kila ndoa kwa sababu inaitwa ndoa ni sahihi na ya kuchekelea. Mtu mzima kuoa mtoto mdogo wa miaka 12 hata kama anapenyeka ni kosa kubwa, hali kadhalika ndoa za jinsia moja kwa sababu zinaitwa ndoa sio maadili pia. Muunganiko wa ukawa unajaribu kuzima vuguvugu la mabadiliko ndani ya hivi vyama, unalinda maslahi ya wakuu hawa na kuwafanya wabakie pale walipo......consequently kuvunja upinzani wa kweli nchini

Chadema imeshindwa ku resolve their internal conflicts, wame loose , wamerudi nyuma wameanguka. Ila kwa sababu wako katika ‘show' lets audience excite by their show!!! bila kuangalia athari zake. Umeishawahi kujiuliza kama waliopotea chadema wangekuwepo?? Chadema kumbe haikuwa na nguvu ya kupata influence ya wananchi na hata wabunge wa CCM kutaka serikali tatu? Chadema mlikuwa mmefikia that range…sio nyie mliwasainisha mpaka wabunge wa CCM kutaka Pinda ajiuzulu?? Nguvu ile iko wapi??

Kama lengo la UKAWA ni serikali tatu? Hoja za serikali tatu au mbili kwa Tanzania is not a priority kwa sasa. Hali ya kisiasa Zanzibar na walipofikia then hoja ya serikali tatu kwao ni muda sahihi. Kwa bara jamani bado ni AIBU kuona CCM na wapinzani wakijadili swala hili ambalo halimsaidii chochote mtanzania wa kawaida.

Kama ni malengo ya kinchi, basi ni bora CDM iungane na CCM kuileta Tanganyika au kuibakiza bara yetu. CCM na CUF Zanzibar in any case in anyway lao moja

WARIOBA ANALALAMIKA KUWA KATIBA IMEBADILIKA NA ZANZIBAR WAMEKIUKA MAKUBALIANO YA ORIGINAL AGREEMENT. CDM WALITAKIWA WAJIULIZE USHIRIKI WA CUF KATIKA MABADILKO HAYA ULIKUWAJE?? IDEAS ZA HILI ZILITOKA WAPI?? 2015 SEIF SHARIF NDIO RAIS KULE, (note that) CUF WANAHUSIKA VIPI NA HAYA YA RAIS WAO KUPIGIWA MIZINGA, KUKAGUA GWARIDE n.k?? are not CUF sehemu ya guilty personnels waliokiuka hati ya muungano?? if so why was easier for CDM kuungana na wakosefu hawa?? au kwa CDM serikali tatu lilikuwa wazo lao hata kabla ya tume ya warioba?? CUF are also source of all this problem, CDM are clever enoughto play with this 'source'????

Ikitokea serikali tatu, CDM Zanzibar ndio itakuwa mwisho wake they will never penetrate there, nor that they will stay their comfortably……..CUF na CCM Zanzibar ni Zaidi ya vyama, ni koo zile ni familia maadui waiounganishwa kwa muafaka na sasa wanataka nchi yao. Wakipewa nchi yao watagombana tena na kugawanyika.

Why UKAWA msipiganie tume huru ya uchaguzi kwanza?? Why this was not your top priority?
 
Waberoya hoja yako imekaa kihafidhina zaidi.

Hapa unaandika live toka lumumba.
 
Waberoya (mwana Kigoma)

sipendi kuchangia zaidi, ila nadhani sasa umejifunza kuwa usaliti hauna faida yoyote na mwishowe ni msiba usiokuwa na matanga.

Ni mwanzo mauti kamili bado.
 
cuf imeungana na ccm, na chadema imeungana na cuf. Kwa hiyo chadema ameungana na ccm indirect
 
Umeamka nazo!Title na contents haviendani.
Kachukue posho yako lumumba
 
Tiari CHADEMA imeunagana na CCM maana CUF ni washirika wa CCM Zanzibar na mie nilisema kuwa mbele kuna matatizo makubwa CHADEMA ikubali imeshindwa na huu ndo mwisho wao nchi yetu bado ni changa kwa mijadala kama hii lakini pia wanachi bado wamelala watasusia na kuendelea kuichagua CCM,
 
Napita mitaa ya Unguja nafika sehemu maarufu ya ofisi ya chama cha mapinduzi na pia ndipo penye kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar. Ni sehemu yenye historia ya pekee, nyumba za jirani na eneo hili, koo na jamii husika za mahali hapa zilizokuwa zina msupport Karume, hata leo zinamkumbuka na kumpenda. Mita chache toka vitongoji hivi, naonyeshwa nyumba ya familia ya mtu aliyemuua Karume, nyumba za mahali hapa , koo zake, na familia zao wanaonekana ndio maadui wa Karume, na hapa ndipo chimbuko la CUF

CUF na CCM Zanzibar sio vyama vya kikawaida, historia zao zinaanzia kwenye familia na koo zao. CUF Zanzibar wana nguvu sana hali kadhalika CCM. Chaguzi mbalimbali za Zanzibar zinaonyesha hivyo, na mara zote japo ilionekana kama CUF inashinda lakini kwa tofauti ndogo sana. Kilichofanyika sasa kuunda serikali ya umoja wa kitaifa ndilo suluhisho pekee lililoifanya kisiwa hiki atleast kuwa na Amani ya kisaisa na kuanzisha sasa VITA ya kidini na kuchukia walio nje ya uislamu, tumesahau mabomu ya machozi ya kila wakati

Hakuna chama chochote cha kisiasa bara ambacho kina historia, nguvu, u ushawishi au level ambapo CUF Zanzibar imefikia..kwa bara hakipo na pengine kisije kuwepo kabisa. NCCR ile ya mwaka 1995 ambayo ilivuna kura nyingi ingeendelea inavyotakiwa pengine tungekuwa mbali. CHADEMA japo imekuwa iking’ara na kuonekana kwenye siasa za kitanzania kama wapinzani, ukilinganisha nguvu zake, uwezo wake, ukubwa wake, iko chini sana ya CCM, iko chini sana pia kwa CUF Zanzibar, they are weaker among weakest hence strongest among weakest

Kwa maana nyingine , mafanikio ya CUF Zanzibar, yanaleta ushawishi na nguvu Zaidi wakitaka kwenda ngazi nyingine nayo ni kuitafuta Zanzibar huru!! Katika hili hata kama CCM –zanzibar inaonekana in supportive ya CCM bara, ukweli uko palepale kuwa hawa watu baada ya muafaka ni kuwa wamekuwa kitu kimoja. Zanzibar wanataka nchi yao, na kwa walipofikia let them be

Tukija bara, kwa bahati mbaya sana, malengo ya UKAWA yanakiimarisha na kukisafisha Zaidi CUF kuliko chadema, chadema is simply dissolving. Kuwa CUF bara kimegubikwa na udini si siri na si aibu kusema hivyo, kusikia maneno ya ‘Takbir’ kwenye mikutano ya kisiasa ya CUF sio ajabu!! Majuzi Lipumba alihitimisha kwa kusema walimsaidia Kkwete ashinde kwa sababu ni mwislamu mwenzao!! Those clips are everywhere in the media. Siwezi kuzungumzia status ya NCCR kwa sasa, lakini inavyoonekana ni kuwa mvutano wa CHADEMA NA NCCR jimbo la kawe ndio umepelekea Mbatia kuteuliwa na rais ( chairman wa CCM) kuwa mbunge wa viti maalumu

Moja ya mivutano ya Chadema na zitto ni kukubali kwa zito katika tume mblimbali za kirais, mialiko ya ikulu. Na sijapata au kuelewa kama akitokea leo hii Kikwete akamteua mwana Chadema mmoja kuwa mbunge wa viti maalumu, CDM ingelipokeaje??

Chadema kutambua hilo ikawaita NCCR CCM C, baada ya nafasi ya CCM B kuwa ya CUF. Kwa sababu ile ile na nguvu ile ile CDM ikaunda kambi rasmi na ya pekee bungeni, wakijipambanua kama chama jasiri, waadilifu na wenye mafanikio. Sijaona hawa CDM waliposema kuwa wanaziondoa hizo tuhuma, na wamejiridhisha kuwa hawakuwa sahihi

Muungano wa vyama is highly desirable, very supportive and is brilliant idea ila: who does that, when and how hilo ndilo tatizo Leo huwezi kumtofatisha Mugabe na Museven, kung’ang’ania madaraka, lakini pia huwezi kumtofautisha Lipumba, Mbatia, Mrema, Mbowe , Mtikila kwenye medani za upinzani na kutaka kuwa wenyeviti wa kudumu

Hawa walafi wa madaraka, wanaohukumiwa na historia zao leo ndio wanaunda umoja huu. Umoja huu umeundwa KUUA nguvu ya wataka mabadiliko katika kila ndani ya hivi vyama!!!

Bahati kubwa ya viongozi wa hivi vyama ni bahati ile ile ya CCM!!! CCM wanabahati wanaongoza makondoo, wajinga na watulivu. Vyama vya siasa navyo vina wanachama wenye tabia zile zile, hawawezi kujiuliza, kuuliza, wako kwenye kusifu tu bila kuangalia hatari ya hivi vyama vinakoenda

Kama CDM pamoja na tuhuma zote zile za CUF na NCCR bado leo ni marafiki, basi ni ishara kuwa mko kwa ajili ya kufanya lolote kulinda masahi yenu, and this will be a prime agenda ya CCM kuwananga kwa wananchi. Huwa najiuliza kama muungano huu ugekuwa wa viongozi wenye caliber moja ya uzalendo na sio wenye malengo ya kupiga hela ingependeza sana, mtaka mabadiliko yeyote yule attamani hili!.... tosha sana kusema viongozi wa ukawa ni madikteta ndani ya vyama vyao na hili la UKAWA is a perfect match to protect their interest!

Ndio maana sio kila ndoa kwa sababu inaitwa ndoa ni sahihi na ya kuchekelea. Mtu mzima kuoa mtoto mdogo wa miaka 12 hata kama anapenyeka ni kosa kubwa, hali kadhalika ndoa za jinsia moja kwa sababu zinaitwa ndoa sio maadili pia. Muunganiko wa ukawa unajaribu kuzima vuguvugu la mabadiliko ndani ya hivi vyama, unalinda maslahi ya wakuu hawa na kuwafanya wabakie pale walipo......consequently kuvunja upinzani wa kweli nchini

Chadema imeshindwa ku resolve their internal conflicts, wame loose , wamerudi nyuma wameanguka. Ila kwa sababu wako katika ‘show’ lets audience excite by their show!!! bila kuangalia athari zake. Umeishawahi kujiuliza kama waliopotea chadema wangekuwepo?? Chadema kumbe haikuwa na nguvu ya kupata influence ya wananchi na hata wabunge wa CCM kutaka serikali tatu? Chadema mlikuwa mmefikia that range…sio nyie mliwasainisha mpaka wabunge wa CCM kutaka Pinda ajiuzulu?? Nguvu ile iko wapi??

Kama lengo la UKAWA ni serikali tatu? Hoja za serikali tatu au mbili kwa Tanzania is not a priority kwa sasa. Hali ya kisiasa Zanzibar na walipofikia then hoja ya serikali tatu kwao ni muda sahihi. Kwa bara jamani bado ni AIBU kuona CCM na wapinzani wakijadili swala hili ambalo halimsaidii chochote mtanzania wa kawaida.

Kama ni malengo ya kinchi, basi ni bora CDM iungane na CCM kuileta Tanganyika au kuibakiza bara yetu. CCM na CUF Zanzibar in any case in anyway lao moja

WARIOBA ANALALAMIKA KUWA KATIBA IMEBADILIKA NA ZANZIBAR WAMEKIUKA MAKUBALIANO YA ORIGINAL AGREEMENT. CDM WALITAKIWA WAJIULIZE USHIRIKI WA CUF KATIKA MABADILKO HAYA ULIKUWAJE?? IDEAS ZA HILI ZILITOKA WAPI?? 2015 SEIF SHARIF NDIO RAIS KULE, (note that) CUF WANAHUSIKA VIPI NA HAYA YA RAIS WAO KUPIGIWA MIZINGA, KUKAGUA GWARIDE n.k?? are not CUF sehemu ya guilty personnels waliokiuka hati ya muungano?? if so why was easier for CDM kuungana na wakosefu hawa?? au kwa CDM serikali tatu lilikuwa wazo lao hata kabla ya tume ya warioba?? CUF are also source of all this problem, CDM are clever enoughto play with this 'source'????

Ikitokea serikali tatu, CDM Zanzibar ndio itakuwa mwisho wake they will never penetrate there, nor that they will stay their comfortably……..CUF na CCM Zanzibar ni Zaidi ya vyama, ni koo zile ni familia maadui waiounganishwa kwa muafaka na sasa wanataka nchi yao. Wakipewa nchi yao watagombana tena na kugawanyika.

Why UKAWA msipiganie tume huru ya uchaguzi kwanza?? Why this was not your top priority?

Ovyoooooo ni fitna tu imejaa
 
Waberoya (mwana Kigoma)

sipendi kuchangia zaidi, ila nadhani sasa umejifunza kuwa usaliti hauna faida yoyote na mwishowe ni msiba usiokuwa na matanga.

Ni mwanzo mauti kamili bado.

Mkuu hapo umenifumbua macho, kumbe lile lisaliti letu linajificha huku? Hahahahaaa.
 
Naomba leo iwe october 2015 ni experience kifo cha ccm itakavyo undergo asphyxia. Wameiform UKAWA bila kijijua ndio noxious agents yao ya kuwamaliza.
Tuwe solid tu marehemu kabla hajaitwa marehemu atarusha mateke, makonde, vichwa atapiga kelele sana, ataharisha na kutapika lakini mwisho wk tutamzika.
 
Tiari CHADEMA imeunagana na CCM maana CUF ni washirika wa CCM Zanzibar na mie nilisema kuwa mbele kuna matatizo makubwa CHADEMA ikubali imeshindwa na huu ndo mwisho wao nchi yetu bado ni changa kwa mijadala kama hii lakini pia wanachi bado wamelala watasusia na kuendelea kuichagua CCM,

wameshindwa, tunawaambia waelewe
 
hasara mkuu mbn kichwa cha habar na habari yenyewe tofauti jipange mkuu
 
Back
Top Bottom