Kwanini CHADEMA hawaongelei fedha za escrow?

Joined
Nov 10, 2014
Posts
48
Reaction score
19
Toka kuibuliwa kwa hoja ya escrow nimeshangazwa mno na ukimya wa makamanda wa chama chetu CHADEMA kulizungumzia na kulisimamia kidete suala la fedha za escrow?,kama tunavyofanyaga kwenye kashfa nyingine za ufisadi,kama EPA na Richmond,na kilichoniumiza zaidi ni kitendo cha mwenyekiti kuacha suala lililoko mezani yani escrow na kuibua mjadala wa gesi, Je chadema hautaki mjadala huu kwa vile umeibuliwa na msaliti wa chadema?,au ni kweli kuna ukweli kuhusu tuhuma za kambi inayomsapoti zitto kuwa baadhi ya viongozi wakuu upinzani wamo kwenye payroll ya Escrow (ingawa tuhuma hii imekaa kisiasa)..karibuni tujadili wakuu.
 
Kuna viongozi wawili wa upinzani walidbukiziwa fungu la mipesa kupitia mkomboZi bank. Ni kina nani? Tutajua tu!!
 
Unajua ni vema sana tukiwa tunashirikisha akili japo kidogo mh. Mbowe anazungumzia Trilioni na mbona Chadema tumeshazungumzia hili swala sana?
 
Toka kuibuliwa kwa hoja ya escrow nimeshangazwa mno na ukimya wa makamanda wa chama chetu CHADEMA kulizungumzia na kulisimamia kidete suala la fedha za escrow?,kama tunavyofanyaga kwenye kashfa nyingine za ufisadi,kama EPA na Richmond,na kilichoniumiza zaidi ni kitendo cha mwenyekiti kuacha suala lililoko mezani yani escrow na kuibua mjadala wa gesi, Je chadema hautaki mjadala huu kwa vile umeibuliwa na msaliti wa chadema?,au ni kweli kuna ukweli kuhusu tuhuma za kambi inayomsapoti zitto kuwa baadhi ya viongozi wakuu upinzani wamo kwenye payroll ya Escrow (ingawa tuhuma hii imekaa kisiasa)..karibuni tujadili wakuu.

Hiv ziliibuliwa na kafulila au gazeti la SITIZEN
 
Itaonekana wanamuunga ZITTO mkono, ni Kheri kwao bil. 200 zisirudi lakini si kumuunga mkono Zitto
 
...tunaswaga kote kote,sasa 1trilion!
 
Akiongea kiongozi yeyote wa upinzani walioko chini ya UKAWA ni sawa na CHADEMA.
 
Dr slaa pia alishaliongelea,na yeye ndiye aliyesema pesa za escrow siyo by 200,ni zaidi ya bn 400
 
Back
Top Bottom