mtoa maada, kama wewe unadhani ni great thinker hebu jaribu kuepuka maada za kibaguzi, unaweza kwa upeo wako ukafikiri ni utani! mwisho wa siku unashuhudia madhala, ni wenye akiri fupi tuu wanaweza chochea ubaguzi, angalia hilo
Mkumbuke kwamba cdm ndo wameshika manispaa ya moshi wakiongowa na meya anayejua nini wananchi wanahitaji mh Jafari MICHAEL diwani wa kata ya pasua ndo sababu ccm wamenyosha mikono juu kuashiria kushidwa. Wakati wa uchaguzi wanaleta hela zao tunazila alafu kura tunapiga kwa cdma ila nawashukuru sana ccm kwa kukubali kushindwa kwani asiye kubali kushindwa sio msh. . . . Saivi vijana wanaendesha maisha kwa mitaji walopewa na BABU@ndesa ndo sababu moshi inapiga hatua kimaendeleo. Haushangai moshi imeifunika kilimanjaro?
Wakuu na maGT naomba mnisaidie, mbona sijawahi kusikia CHADEMA wakiandamana moshi au ndo kusema moshi hapana matatizo kama ambayo huwasababisha wao kuandamana sehemu nyingine? Au ndo kusema moshi hapana tatizo na wakishika dola nchi itakuwa kama Moshi?
Mwongo na mnafki mkubwa wewe, Mbowe hatoki Moshi na wala Mtei hatoki Moshi, kajipange upya mbulula wewe.Sio kweli ! The truth is that MOSHI is the home of Chadema leaders, that is MTEI na mbowe's base and home town, so how do you expect to destroy the Kings and Crown princes home town, there is a mission, which we haven't deciphered yet. Why there is demos and chaos in MOSHI.
CCM hawawezi kuandamana Moshi kwa sababu kwanza wamukubali matokeo na wanaona CDM invyofanya kazi chini ya Halmashauri inayoongozwa na CDM.Mapato ya halmashauri yako juu tofauti ilivyokuwa chini ya ccm. HIvyo sera ya cdm ni kusimamia mapato.Njoo Moshi uone barabara zinavyorudishiwa lami ttofauti na miaka ya nyuma.Walikuta makusanyo ya sh 1.7 bn mapato ya ndani sasa wanakimbilia 4.0 bn kwa vianzo vilevile.Hivyo hutasikia maandamano Moshi kwani wananchi wanaona fedha zao na raslimali zao zinavyotumika.Wamachinga hawavurumishwi kama ilivyokuwa enzi ya ccm wanapewa maeneo na elimu na sio kuvurumishwa.Nadhani ungerekebisha swali lako. Kwa vile Moshi iko mikononi mwa CHADEMA ungeuliza hivi; kwa nini CCM hawaandamani Moshi?
Labda kama watawalipa wananchi wa moshi wataandamana kule walistaarabika siku mingi sana kuwa hakuna kutumikishwa bure kwa maslahi ya wachache
Mosh wajanja wewe, waumizwe?
Mchaga mjanja sana, anawaandamishaje waarusha huko kwao?, wafe hana la kupoteza
Dah mtoa mada umegusa ninapopataka. Swali hili alishalijibu BABA WA MJI{@ndesamburo} alisema hivi nanukuu: watu wananiuliza mbona mnaleta maandamano huku kwetu lakini hatujawahi kusikia maandamano moshi? Nikawajibu kwamba tunachokifanya moshi niutekelezaji wa ilani ya chama kwani sisi pale moshi sio wanaharakati ila ni watawala na ccm ndo wanaharakati wanaotamani kututoa madarakani na wanajua hawawezi yaani moshi ilishakombolewa na sasa ipo huru tunapoandamana sehemu nyingine ni kuhakikisha nako ukombozi unafika baada ya hapo mambo yatakuwa shwari kama moshi. Mwisho wa kunukuu BABU alisema hayo mjini moshi kwenye mkutano wa hadhara baada ya kutoka hospitali mapema mwezi wa tatu au wa nne kama sikosei.
Tz yote ingekuwa kama moshi dah ingekuwa bomba sana coz wale jamaa hawakuchaguwi ukiwa na kashifa bora usiende kugombea kabisa pande za huko mulize mramba analijuwa vizuri hilo na kama huna maendeleo nadhani lazima wakutose tu dah nina kumbuka nikiwa pande hizo kipindi cha mkapa alienda kumtambulisha prof.lema agombeye ubunge wanafunzi wa shule walikusanywa wajaze mkutano prof lema akitokea masaki aka ahidi kumpa uwaziri endapo ata chaguliwa kuwa mbunge wilaya ya Hi. upande wa upinzani alikuwepo mh mbowe naye akigombea ubunge prof, lema akanadiwa vizuri sana ahadi kibao alimwaga mzee mkapa na mkutano azimio likatoka kwenye huu mkutano upande wa mheshimiwa mbowe ukaonekana kama mtu mhuni adi mwisho wa mkuutano. Prof,lema akanyanyuliwa juu juu dah sito sahau prof,prof mwokozi mwokozi prof, prof lema akaondoka zake kupumzika kesho ulikuwa mkutano wa mh mbowe dah kama kawaida akasema nina mheshim sana kaka yangu prof lema na nina waheshim sana ndugu zangu wa Hi na wana inchi kwa ujumla dah mbowe akasema huu ndio mkutano wangu wa mwisho sitogombea nitamuachia ndugu yangu prof lema nafasi kama na kutowa zawadi nadhani ya million tano kama atatoka mtu yeyete hapa hai atuonyeshe ndugu yetu prof lema kama anauchungu na wana nchi wa Hi lazima atakuwa angalau na kijikibanda hapa Hi nyumbani kama ishara ya mshikamano na mpenda maendeleo dah akatokeza jamaa mmoja kajenga sehemu inaitwa maili6 dah wa na inchi wakasema pale kwa mdogo wake mbowe akasema nendeni mkafanye uchunguzi kama hapishani na shemeji yake kwenye corido mkigunduwa ni kweli kesho kutwa msije kwenye mkutano wangu na mimi sitogombea tena dah kumbe watu wanao itwa maprofesa wanajuwa kusoma alama za nyakati sana dah prof huyooo akatimuwa zake masaki sijuwi kama alishawahi kurudi tena pande za huko mwenye tarifa zake ninaomba kujuwa yupo wapiMwongo na mnafki mkubwa wewe, Mbowe hatoki Moshi na wala Mtei hatoki Moshi, kajipange upya mbulula wewe.
You just dont know what is happening! Hivi CDM huwa wanaitisha maandamano au watu kwa wingi wanatembea kuelekea mikutanoni kwa pamoja? Usisikie tuu, fanya research afu uje na point mfu zako!Sio kweli ! The truth is that MOSHI is the home of Chadema leaders, that is MTEI na mbowe's base and home town, so how do you expect to destroy the Kings and Crown princes home town, there is a mission, which we haven't deciphered yet. Why there is demos and chaos in MOSHI.
Kwa sababu CCM wamekubali matokeo...
Arusha na kwingineko wanasuasua kukubali matokeo na kuwaachia chadema mamlaka lakin very soon nako watakubali...
Ha ha ha!kumbe na wewe ni anti-chagga huh?Mosh wajanja wewe, waumizwe?
Mchaga mjanja sana, anawaandamishaje waarusha huko kwao?, wafe hana la kupoteza
Wakuu na maGT naomba mnisaidie, mbona sijawahi kusikia CHADEMA wakiandamana moshi au ndo kusema moshi hapana matatizo kama ambayo huwasababisha wao kuandamana sehemu nyingine? Au ndo kusema moshi hapana tatizo na wakishika dola nchi itakuwa kama Moshi?