Kwanini CCM wengi mazuzu

Wangekuwa Mazuzu wange tushinda kwenye uchaguzi! Ikumbukwe CCM waliongoza kupata wabunge wengi kwa 87 percent na Urais wakashinda! Mimi naona tumeanza ushabiki wa kujiridhisha mapema! Angalie sana CCM bado wako vizuri!
Ushindi wa hila,wamekaa bungeni kukwamisha kila kitu kitakachoboresha maisha ya Mtanzania,kila mtu anajua walishindaje wataendelea kushinda si wananchi tunawaendekeza na kuwaacha wafanya watakalo lakini wajiangalie NGuvu ya UMMA itakapo amua vinginevyo hawatadeka tena
 
Wengine wanamtegemea Shekh Yahaya na waganga wa kienyeji unadhani watakuwa na akili kweli
 

Huenda ikawa baba yao ni mmoja, you never know!
 
Si wote ccm ni mazuzu,wapo wenye akili na uchungu wa nchi ila hawana nafasi ya kuonyesha uchungu wao.Tunawaita watoke huko waje CDM tupige kazi.
 
Wangekuwa Mazuzu wange tushinda kwenye uchaguzi! Ikumbukwe CCM waliongoza kupata wabunge wengi kwa 87 percent na Urais wakashinda! Mimi naona tumeanza ushabiki wa kujiridhisha mapema! Angalie sana CCM bado wako vizuri!

nilipo introduce hii mada nlitaka kujua pia na Jamii forums kuna mazuzu wangapi? :sleepy: wewe sio zuzu ni ........ malizia mwenyewe maana siwezi sema the way i can imagine how your brains works as .......... go back to your home
 
Ni kweli ni mazuzu angalia hata bungeni wanafata ushabiki hata ukiwapelekea paper wafanye presentation hawawezi shida tupu, na ndio wametuingiza kwenye mikataba ya kijinga utafikiri hakwenda shule wanasign bira hata ya kuelewa maana kusoma yanasoma ila upeo wa kuelewa mdogo. kazi yao kupakata tu makorodani yao without thinking!!!
 
chadema ndo Mazuzu kwa kuwa na kiongozi mmoja tu anayetegemewa. CCM ni ya wengi any can lead but not Chadema.

mshahara wako kwa kuitukana Cdm ni sh ngapi mkuu,maana pamoja na kuisadia Ccm kwenye uchaguzi uliopita,mliangaika huko na kule,mkaiba kura nk,mshahara wake tshet na kofia,wakati kumtoa mtu Cdm kumpeleka ccm n milioni 500,mfano Shitambala.mazuzu uwezi yaonga hela kama hizo,mazuzu hupewa tshet,kofia na pombe kama wewe,
 

Mkuu nakufagilia.
Somebody said that if you argue with a fool people might not notice the diference!
I rest my case.
 
chadema ndo Mazuzu kwa kuwa na kiongozi mmoja tu anayetegemewa. CCM ni ya wengi any can lead but not Chadema.

hapo kwenye red ndio tofauti ya CHADEMA na CCM, wakati CCM any (including mazuzu, na ndio maana kuna wakati lazima mvue magamba) can lead, CDM only SMART people can lead!
 

This is breaking news for me....and it is real shocking!!! Wamehamia lini huko? Naanza kupata logic...ndio maana prof akikutana na mukulu wa pale ikulu huwa anafurahi na kujichekeshachekesha sana....!
 
[
[B

Kama Jamii forum ni Ya CHADEMA wewe unatafuta nini humu ndani waache wana chadema wabaki wenyewe toa kihereher chako peleka kwa mazuzu wenzako wewe unaejiita GENIUS BRAIN hauna maana hata chembe:sleepy:[/QUOTE]


hahahahahahahahahahahahahahaahahahahqaha. wajameni mambo hayooooooooo
 
hivi nauliza!,KAMA MAWAZIRI HUTOKANA NA WABUNGE WA CCM,NA TUMEONA WALIVYO MAZUZU WA KUCHAMBUA HOJA NA SHERIA BUNGENI.
*
INAKUWAJE WANAPOTUWAKILISHA HUKO UGHAIBUNI KWNY MIKUTANO YA KIMATAIFA?,AU NDIO MATOKEO YA HII MIKATABA INAYOTUSUMBUA.
*MFN JANA MKUTANONI DSM NA WAWEKEZAJI,NILIMUONA FELIX MOSHA AKIUCHAPA USINGIZI.LIVE KABISA WAKATI RAIS KIKWETE AKIJIBU MASWALI KADHAA TOKA KWA WADAU.
 
Tatizo ukishaingia ccm, inabidi uwe zuzu, maana ukitumia uhuru wako kuongea au kutoa mawazo yako, unaambiwa umekiuka taratibu za vikao! Kumbuka ya Sumaye na UVCCM? huo ndo uzuzu!
 
Tafadhari mod turudishie kitufe cha thanks!!!!!!!!! Mkuu Kakini hao watu walishajifilia zamani saana!!!!!!!!! Utawala wamechukua kimabavu, sasa wanangjea kuzikwa. Tutawazika 2015, kama ni majasiri hebu watupe uhuru wa kutunga katiba mpya, tuipate kabla ya uchaguzi!!!!!!!!!!!!
 

nje ya mada!! hayo hayatuhusu!!!
 

Tofauti ni hapo kwenye RED. Aliepost kauliza, kwa nini CCM WENGI (sio WOTE) ni MAZUZU?
 
Wewe zhu..chadema haina kiongozi mmoja kama wa ccm..
LEMA=VINGOZI 10 WA CCM
TUNDU LISSU=NA AKINA CELINA KOMBANI 25
MBOWE=JEIKEI 4
DR WA UKWELI hafanani na kiongozi yeyote fisadi..
 
Bunge la jumamosi wk iliyopita kwenye kupitisha vifungo vya mswada wa Sheria ya mahakama ndipo niligundua wabunge wa ccm si watetezi wa wananchi ila ni watetezi wa chama chao na maslahi yao. Hata samwel sita naye alikuwa kwenye mkombo huo huo.

Jemedari/mwanasheria kijana Tundu lisu mwenye speed ya digital aliwatesa sana mwanasheria mkuu, waziri wa sheria na Spika wa Bunge. Hoja zake zilikuwa za msingi na zenye uzalendo lakini wabunge wa CCM walizikataa kwa ajili ya kutetea maslahi binafsi na ya chama.

Hawa wabunge hawafai kwa Watanzania na wakae wakijua aliyewaweka madarakani ni wanachi na mwajiri wao ni wananchi na si chama. watanzania hatutafanya makosa kuwarudisha bungeni tena hawa wasaliti!

Walichokifanya kitakuja kuwagharimu siku si nyingi, Watanzania tunaomba Mungu awaadhibu kwa kuwalaghai wa-TZ.
 
Lisu ni jembe, ila chama cha magamba wao watunge tu hizo sheria zao za kizuzu, kuna siku zitawageukia wao wenyewe! Wakamuulize Kaunda, Muluzi etl al, ni kukompromise indepence of judiciary, kuruhusu, wanasiasa, tena wakuu wa mikoa na wilaya kuwa kwenye tume za utumishi wa mahakama!
 
sasa mmejivua gamba hayo ni mambo yenu ya ndani!eeh tupeni mkakati au mna mpango gani wa kuteletea maendeleo mkiwa na takwimu sahihi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…