Katika utafiti wangu nimekuja kuona ccm wanachama wengi wa ccm na viongozi wao wapo kimaslahi yao na hawana jipya la kufanya kimaendeleo.
Karibia wote ni vilaza wanaopewa nafasi kubwa serikalini ndio maana wanasababisha matatizo makubwa kama ufisadi, na maisha magumu yanayowakabili wananchi wengi kwa sasa.
Wamekuwa wakikimbilia cheap popularity kwa watu wasio na uelewa wa mambo yanavoenda mbona hawawezi kutoa tathmini ya mandeleo wanayoyafanya mbele ya watu wanao fatilia na wasomi kwa ujumla.
Mimi binafsi naona ni ukomo wao maana zama zao zilikuwa za kuongoza watu walio gizani. Kama sasa wanalalamika wanavyuo kuwazomea je walipozomewa na wananchi wa ubungo wakati wametoka sijui kutoa magamba yao wale walikuwa ni wanachuo????
Ccm mmekwisha hakuna mnalolifanya kwa sasa zaidi ya kutuletea matatizo kila siku. Mnaposema jamii forums inawachafua kwani inaandika uwongo???
Chadema wanapowapinga wanakosea????
Kwa kweli nyie sio siri ni mabogas mlio pitiliza
Channel ten wametangaza katika taarifa ya habari asubuhi hii.
Mkuu wa mkoa wa Mara amemkamata diwani wa Chadema katika kata moja wilayani Serengeti akiwa anamiliki bunduki AK47 kinyume na sheria. Alikiri kwamba yeye na ndugu zake wamekuwa wakimiliki
Alichukuliwa kutoka kikao cha madiwani akahojiwa na kukiri. Kisha akawapeleka kwenda kuwaonesha mahali alipoifukia
Halafu wakisema JF ni ya CDM watu mnakuja juu, wakati uthibitisho uko wazi wazi
JAMII FORUMS SIO YA CHADEMA wewe brainless naona huna hoja na upo kichama zaidi jamii forums ni mtandao wa watu wwlio elimika na wenye uwezo wa kufikiri na kupembua uchafu na uozo wa mtu flani, jambo flani , chama flani au kiongozi flani ingawa wanaCCM mnaona mnaandamwa nyie kwakuwa mmeoza katika utendaji wenu kiutendaji ni kiakili mpo chini sana.
CHADEMA haimiliki Jamii forums ila watu walio kwenye huu mtandao wanakipa hadhi kutokana na watu walioko chadema, utendaji wao wa kazi uwezo wao wa kufikiri na vilevile umakini wao katika swala la maendeleo ya nchi kwa ujumla.
Kama Jamii forum ni Ya CHADEMA wewe unatafuta nini humu ndani waache wana chadema wabaki wenyewe toa kihereher chako peleka kwa mazuzu wenzako wewe unaejiita GENIUS BRAIN hauna maana hata chembe:sleepy:
Tufanye tu iwe ya chadema,kwani ni kosa chadema kuwa na forum au chombo cha habari?
Mbona sijasikua watu wakilalamika eti Uhuru,tbc ni vya ccm?
Waache waanzishe forum yao pia,nitakua wa kwanza kujiunga huko kama hawataifunga siku mbili tu
brainless angalia post zake zote ni za kama mtu ambaye ........................ anjua mwenyewe condition ya kichwa yakespeaker katiak hali ya kawaida CCM hakuna dira wala uwelekeo wowote kolimba si alshawaambia???? CCM HAKUNA DIRA
wafuasi wengi wa CCM ni wasiojua kinachoendelea na ndio maana wanawabeba na mabasi kuwapeleka kwenye mikutano yao na wanatumia UMASIKINI NA UJINGA ILI KIENDELEE KUWATAWALA kwanini katika mkutano wengi wao ni watu wasio makini wenye uelewa mdogo njoo uongee na sisi watu makini kama kweli wewe ni MWANA CCM makini
Nasisitiza.................
CCM ni Mazuzu
tumekubali ni ya CDM, na nyie CCM kaanzisheni yenu ya mazuzu!Halafu wakisema JF ni ya CDM watu mnakuja juu, wakati uthibitisho uko wazi wazi