Akili zimeanza kuwajia..unyumbu unawatoka.
Mkuu angalau wewe una akili sasa.Tangu lini kujifunza kutokana na makosa ikawa issue?
Uanaharakati ndiyo njia pekee ya kuipata katiba ya wananchi
Tunataka katiba mpya. Tumekifahamu kilicho tuchelewesha:
Wewe kama mtanzania tembea kifua mbele sasa. Hatuko mbali tena:
1. Minyukano ndani ya CCM haitusaidii kwenye madai yetu ya katiba mpya.
2. Mwendazake hayupo tena, makando kando yake tuhangaike nayo kwenye "haki na maridhiano" baada ya katiba mpya.
3. Agenda zetu ni za kudumu si marafiki.
Mkuu angalau wewe una akili sasa.
Chadema wengi ni mabingwa wa kutukana na huwa hawataki kukosolewa na kuambiwa ukweli.
Akitokea mtu akawa tofauti na mawazo yao,hata kama ni kwa nia njema basi watamshambulia na matusi ya kila aina...hawapendi kushauriwa.
Hii ilikifanya kiwe chama cha hovyo,,,,ila mkienda kwa akili hii ya kujenga hoja na mfumo imara basi mtavutia watu wengi kuingia huko,hata tusio na vyama.
Uko sahihi kabisa, hata hapa Jukwaani kusema lolote tofauti na haya mavyama utaoga mitusi sana, hawa jamaa na mavyama yao sisiemu na cdm wanadhani wanaakili kuliko watu wote hapa jukwaaniMkuu angalau wewe una akili sasa.
Chadema wengi ni mabingwa wa kutukana na huwa hawataki kukosolewa na kuambiwa ukweli.
Akitokea mtu akawa tofauti na mawazo yao,hata kama ni kwa nia njema basi watamshambulia na matusi ya kila aina...hawapendi kushauriwa.
Hii ilikifanya kiwe chama cha hovyo,,,,ila mkienda kwa akili hii ya kujenga hoja na mfumo imara basi mtavutia watu wengi kuingia huko,hata tusio na vyama.
Akina mdude ni wanachadema,wajumbe au mashabiki?Mkuu nakushukuru kwa uelewa. Hata hivyo tambua kuna tofauti kubwa baina ya wana chadema na wajumbe au mashabiki mitandaoni:
Watambue Wanachama wa Vyama Mitandaoni
Kimsingi kama Chadema matusi si agenda yake.
Tunataka katiba mpya. Hilo kwenye matusi au yasiyohusika halimo.
Tunajua kuwa katiba mpya iko hapa:
Uanaharakati ndiyo njia pekee ya kuipata katiba ya wananchi
Kabisa yaani.Uko sahihi kabisa, hata hapa Jukwaani kusema lolote tofauti na haya mavyama utaoga mitusi sana, hawa jamaa na mavyama yao sisiemu na cdm wanadhani wanaakili kuliko watu wote hapa jukwaani
Na nikama huwa wanaitana kabisa, huwa hawajadili hoja ila "personal attack "Kabisa yaani.
Mimi nishawahi kuogeshwa matusi na hizo timu zote mbili,ukikosoa cdm wanakupachika uccm na kuanza kumwaga matusi.
Ukikosoa ccm akina bia yetu wanaanza kukushambulia na kukupachika ubavicha.
Upuuzi wa hii mivyama imewafanya wawe kama mazuzu.
Wananchi tunakosa upande wa kufungamana nao.
Nadhani matusi ya kwenye Siasa yapo pande zote
Akina mdude ni wanachadema,wajumbe au mashabiki?
Binafsi huwa nakiona chama cha hovyo na cha kihuni kutokana na watu waliopo humo.
Nimeiongelea chadema kwa sababu wewe ni mwanachadema.Hudhani wengine utawaonea bila kuwaangazia hawa wa majukwaani wenye dhamana?
View attachment 2061743
Matusi kama haya yana dhamana na mwenyekiti wa chama. Au siyo?
Na nikama huwa wanaitana kabisa, huwa hawajadili hoja ila "personal attack "
Nimeiongelea chadema kwa sababu wewe ni mwanachadema.
Akija wa ccm pia nitamuuliza hilo swali.
Hebu jengeni chama bwana,ifike mahala msiendeshwe na upepo na mihemko.
Cha kushangaza ni kwamba unakuta mtu anatukana matusi ila huku nyuma yake watu wanashangilia na wanajaza kichwa.Nipende kukazia:
Matusi si sera za Chadema. Matusi hayakubaliki bila kujali yanatokea wapi.
Ni nia yetu kubakia katika hoja za msingi ambazo ziko wazi.
Cha kushangaza ni kwamba unakuta mtu anatukana matusi ila huku nyuma yake watu wanashangilia na wanajaza kichwa.
Nimekuelewa mkuuNinakusoma mkuu ila kelele za chura ni sawa na kelele za mlango tu.
Tatizo ni matusi majukwaani.
Haya ya mitandaoni mbona yako kwenye range za ma mods tu mkuu?
Napenda nijue kwanza hao CCM kwanini wanakiita Chadema SACCOS, halafu tuangalie kama kweli hoja zao zina msingi, mimi binafsi huwa nawaona wanaimba tu mapambio yao waliyokaririshwa yasiyo na maana.
Siamini kama chama cha siasa tena zaidi CDM kikiwa na sifa ya kuwa SACCOS kitaachwa kiendelee kuwepo na msajili wa vyama waliyempa kila aina ya sheria za kuwashughulikia Chadema.
Kunywa Spaletta baridi hapo kwa mangi, nitalipa. Huo ndiyo ukweli mchungu ninaousema kila siku humu.Katiba Mpya, Uongozi wa Kitasisi na Demokrasia ya kweli inapaswa kuanzia ndani ya CDM kabla ya kuhangaika na nchi.