Kwanini CCM wanatamani CHADEMA ife?

Ccm wajinga sana
Waliwajaza WAFANYA BIASHARA HARAMU PALE MLIMANI CITY ILI WAKICHANGIE CHAMA
Hebinder sethi Raiya wa KENYA alishiriki kama nani pale?
Mjinga babako maana hajakufunza kuwa uache kufuatilia yasiyokuhusu. We ni kenge tu
 
Ndio mpinzani wa kweli, the rest ni peoject zao
 
Chadema ikivuka hapa haifi tena
 
Tuwe wakweli Mimi naona mikakati ya serikali hii ndo imeimalisha zaidi chadema, inapewa promo mno kutokana tu na mipango mibovu ya washauri na chawa wa mama. Msajili Chadema, POLISI Chadema , mahakama CHADEMA, Kwa mbinu hizi Haifi ndo imeimalika zaidi, sisi tunaoishi mitaani huko tunaziona chuki kubwa iliyoko zidi ya srikali yatu
 
Mbaya wako muombee kifo ili uendelee kula bata kwa raha zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…