mlogolaje
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 1,509
- 813
Sisi wapenzi wa mipasho na michambo ya kwenye majukwaa ya siasa tunakosa mengi tofauti na kipindi kile cha Mzee wa msoga sijui CCM wanawaogopea nini CHADEMA
Nawashauri CCM ruhusuni upinzani ufanye kazi zake ndo siasa acheni uoga, tulikuwa tunafurahia kipindi kile mashilawadu wa kisiasa Nape kajibu nini Lissu kasemaje, mnagwaya mnapiga mkwara.
Au mmeishiwa?