Mtoboasiri
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 5,100
- 1,955
Uzushi mtupu. Waambie viongozi wako warudi shule wasome
Si kweli kuwa CCM inalinda wauza "sembe" na mafisadi!, CCM inachofanya ni kulinda "wanachama wake!".
Nchi hii haitaongozwa na wahuni Chadema never hilo msahau. Njooni na kila aina ya uzushi na hampati kitu.
Sheria za nchi zikoje jee unaifahamu vizuri katiba ya nchi?ndio mana nikakwambieni mnapoteza muda mwingi sana kwenye mitandao kuangalia picha za wakubwa na kupost utumbo bila kuwa na direct evidence huwezi kumfikisha mtu mahakamani bwa mdogo rudi shule upate kujua haki zako za msingi na kama wewe mzee mbona shule zipo tu zinafundisha watu wazima!
Mkuu Sir Joshua, huitendei haki kuwaita CCM ni mapanya kwa sababu tuu ya wizi wao wa mali ya umma!. Hata wale mapanya wa nyumbani au ghalani wanaiba chakula au kula mazao, wao wanaamini hiyo ni himaya yao, na kule kula kwao sii kuiba, ni halali yao!. CCM hii ni himaya yao, hivyo chochote wafanyacho, ni halali yao!, wewe ndio unadhani wanaiba!.umenena vyema mkuu inalinda wana chama wake ambao ni wauza sembe,sasa umeweka vizur kumbe ndio mana vita hii itakua ngumu sana ukizingatia wauzaji na waagzaj wa sembe ni makada,kwel ccm ukoo wa panya.
Uzushi mtupu. Waambie viongozi wako warudi shule wasome
Lete ushahidi unao unyesha kama ccm wanawalinda hao mafisadi na wauza unga unajua nyinyi vijana mnapoteza muda wenu mwingi kulipa elfu moja kukaa kwenye internet kuhatarisha maendeleo yenu muda wakwenda shule nyinyi kazi yenu kupost utumbo tu kwenye JF
Si kweli kuwa CCM inalinda wauza "sembe" na mafisadi!, CCM inachofanya ni kulinda "wanachama wake!".
ninamashaka nawewe sio siri.hata huoni? Husikii? Hata meli iliyokamatwa italia hujaona hata kuambiwa? Au nawewe ni gamba?
hv wewe ni mtanzania uishie tanzania?Lete ushahidi unao unyesha kama ccm wanawalinda hao mafisadi na wauza unga unajua nyinyi vijana mnapoteza muda wenu mwingi kulipa elfu moja kukaa kwenye internet kuhatarisha maendeleo yenu muda wakwenda shule nyinyi kazi yenu kupost utumbo tu kwenye JF
Chadema ni marehemu anayetembea, kwetu anaitwa mzuka