pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 19,034
- 15,244
1. Hela za kampeni watatoa wapi?Ninayo masikitiko makubwa kwa namna nchi inavyokwenda hasa CCM kuwalinda kwa NGUVU zote wauza unga na mafisadi.
Waliapa kuwashughulikia Mafisadi hasa walifocha fedha nje lakini majuzi nimesikia mkuu mmoja akisema hawana fedha za kwenda Uswiswi kufuatilia fedha zilizofichwa huko! Alipotakiwa kueleza kama wamewasiliana na Ubalozi wao hapa nchini alikuwa 'mbogo' kweli kweli.
Hivyo hivyo kwa madawa ya kulevya nayo pia hawataki kuchukua hatua hasa ikizingatiwa kuwa yanamaliza vijana wetu.😕
Si kweli kuwa CCM inalinda wauza "sembe" na mafisadi!, CCM inachofanya ni kulinda "wanachama wake!".
Uzushi mtupu. Waambie viongozi wako warudi shule wasome
Mkuu M-KV, ujue hata wale vibaka au mwizi wa kuku, angekuwa na kadi ya CCM, wasinge chomwa au kuuwawa!, wale wanajulika ni wanachama wa CCM hivyo lazima iwalinde!. Ulinzi mkubwa zaidi ni ule uliotangazwa wazi na M/Kiti wa CCM, kuisamehe ile "mijizi ya EPA" kwa kuiambia "I rudishe ilichokwiba, au kukwapua!"
Pascoooooooooooooooooooooo.........u have said it......
Lete ushahidi unao unyesha kama ccm wanawalinda hao mafisadi na wauza unga unajua nyinyi vijana mnapoteza muda wenu mwingi kulipa elfu moja kukaa kwenye internet kuhatarisha maendeleo yenu muda wakwenda shule nyinyi kazi yenu kupost utumbo tu kwenye JF
Si kweli kuwa CCM inalinda wauza "sembe" na mafisadi!, CCM inachofanya ni kulinda "wanachama wake!".
naona kitambi kimekosa mkunaji 2kutafutie atakayekusaidia kukuna,umeshiba na kulemazwa na viposho vidogovidogo vya ccm. Inamaana huoni kama unaufisadi unaofanyika nchin?nani kachukuliwa hatu kwenye madawa ya kulevya? Au sio kweli.
Ninayo masikitiko makubwa kwa namna nchi inavyokwenda hasa CCM kuwalinda kwa NGUVU zote wauza unga na mafisadi.
Waliapa kuwashughulikia Mafisadi hasa walifocha fedha nje lakini majuzi nimesikia mkuu mmoja akisema hawana fedha za kwenda Uswiswi kufuatilia fedha zilizofichwa huko! Alipotakiwa kueleza kama wamewasiliana na Ubalozi wao hapa nchini alikuwa 'mbogo' kweli kweli.
Hivyo hivyo kwa madawa ya kulevya nayo pia hawataki kuchukua hatua hasa ikizingatiwa kuwa yanamaliza vijana wetu.😕
Sheria za nchi zikoje jee unaifahamu vizuri katiba ya nchi?ndio mana nikakwambieni mnapoteza muda mwingi sana kwenye mitandao kuangalia picha za wakubwa na kupost utumbo bila kuwa na direct evidence huwezi kumfikisha mtu mahakamani bwa mdogo rudi shule upate kujua haki zako za msingi na kama wewe mzee mbona shule zipo tu zinafundisha watu wazima!
Ni kwasababu hata mwenyekiti wa Chama ni mdau mkubwa kwenye biashara hiyoNinayo masikitiko makubwa kwa namna nchi inavyokwenda hasa CCM kuwalinda kwa NGUVU zote wauza unga na mafisadi.
Waliapa kuwashughulikia Mafisadi hasa walifocha fedha nje lakini majuzi nimesikia mkuu mmoja akisema hawana fedha za kwenda Uswiswi kufuatilia fedha zilizofichwa huko! Alipotakiwa kueleza kama wamewasiliana na Ubalozi wao hapa nchini alikuwa 'mbogo' kweli kweli.
Hivyo hivyo kwa madawa ya kulevya nayo pia hawataki kuchukua hatua hasa ikizingatiwa kuwa yanamaliza vijana wetu.😕
Jibu hoja wewe kibarakaUzushi mtupu. Waambie viongozi wako warudi shule wasome
Mmmmmmmm! ndugu yangu hili nalo linahitaji ushahidi? ni chama gani kinaongoza serikali?Lete ushahidi unao unyesha kama ccm wanawalinda hao mafisadi na wauza unga unajua nyinyi vijana mnapoteza muda wenu mwingi kulipa elfu moja kukaa kwenye internet kuhatarisha maendeleo yenu muda wakwenda shule nyinyi kazi yenu kupost utumbo tu kwenye JF