Kwanini CCM inapata KWIKWI linapofika suala la SEMBE??

Senbe Noma

Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
38
Reaction score
5
Jamani mimi binafsi nashindwa kabisa kukielewa chama changu cha Mapinduzi. Linapokuja suala la unga viongozi wangu wapendwa wanashindwa kabisa kusimama kidete. Mimi naumia mno maana nina mdogo wangu alikua amepata Div 1 Mzumbe lakini akajiingiza kwenye unga siku hizi ni teja mno(naandika hokum machozi yananitoka, mama amejitahidi kumpeleka rehab znz na kigamboni but akirudi tu anarudia hali ileile). katika hali ya kawaida baada ya suala hili kuongelewa bungeni nilitarajia CCM ingeandaa maandamano kama chama chetu kifanyavyo kunapokua kuna masuala ya KITAIFA. LAKINI WAPI!. CCM mkumbuke kuwa vijana wengi wanakihama chama chenu kutokana na CCM kutokutujali sisi vijana, kumbukeni tunaoathirika wengi ni vijana. NAPE PLEASE MY BRO DO SOMETHING, YES U CAN, BRO!
 
Orodha ya 'wazungu wa unga' ipo serikalini na ushahidi wote upo.
Wale akina dada waliokamatwa na madawa ya kulevya Afrika Kusini wameshataja 'mabosi' wao !!.
Lakini, mhhh !!
Labda Ritz anajua kinachoendelea...
Wenyewe wanasema wako busy kukijenga chama chao CCM, hayo maswala ya 'unga' hawaangalii...
Ni sawa Mamndenyi na chama ??
 
Last edited by a moderator:
Unataka wamkamate au wamtaje Riziwani?
 
Kwahiyo ina maana vita dhidi ya ngada imeshindikana tz??????????????????????
 
Ritz atasema hapa

Wewe sio ccm sema nachangia tu kwasababu hoja yako ya msingi pole mambo yatakuwa sawa 2015 kura yako ndio mkombozi wako rais changu ccm wabunge wape chadema sawa bwa mdogo
 
Senbe Noma
Pole na huyo kijana wenu,
Kaushauri tu kidogo,
Mrudisheni kigamboni, mwacheni akae muda mrefu walau miezi minne hivi.
Hakikisheni atakapotoka anakuwa na shughuli ya kufanya;

Hakuna anayefurahia hii kitu ya madawa,

Vijana wengi ni wavivu ndo maana wanatafuta njia za mkato;
Sawa umetoka chama cha mapinduzi,
hivyo vyama vingine vitakupa nini zaidi ya kukuuzia maneno na sera mbovu mbovu.

Pole sana.

Jamani mimi binafsi nashindwa kabisa kukielewa chama changu cha Mapinduzi. Linapokuja suala la unga viongozi wangu wapendwa wanashindwa kabisa kusimama kidete. Mimi naumia mno maana nina mdogo wangu alikua amepata Div 1 Mzumbe lakini akajiingiza kwenye unga siku hizi ni teja mno(naandika hokum machozi yananitoka, mama amejitahidi kumpeleka rehab znz na kigamboni but akirudi tu anarudia hali ileile). katika hali ya kawaida baada ya suala hili kuongelewa bungeni nilitarajia CCM ingeandaa maandamano kama chama chetu kifanyavyo kunapokua kuna masuala ya KITAIFA. LAKINI WAPI!. CCM mkumbuke kuwa vijana wengi wanakihama chama chenu kutokana na CCM kutokutujali sisi vijana, kumbukeni tunaoathirika wengi ni vijana. NAPE PLEASE MY BRO DO SOMETHING, YES U CAN, BRO!
 
Last edited by a moderator:
Kwahiyo ina maana vita dhidi ya ngada imeshindikana tz??????????????????????

Ni global war, kwa mujibu wa statistics za USA Watanzania wanaongoza kwa kuwa courier wa dawa za kulevya kwa ukanda wa Afrika Mashariki na ni kituo cha kupeleka madawa Iran na Afrika Kusini
 
vumilia hela ya kampeni ikishajaa,tutasitisha hii business.
hili swala hata bwana NAPE analielewa vema ndio maana yupo kimya!
=============~~~~~~~~
kwa taarifa yako hapa Tanzania hakuna biashara halali au haramu ambayo haina mkono wa hao vigogo wa CCM!
 
Na ile ya kwako unayofanya inamkono wa viongozi tena ya kwako ndiyo ya ajabu zaidi.
 
Jamani mimi binafsi nashindwa kabisa kukielewa chama changu cha Mapinduzi. Linapokuja suala la unga viongozi wangu wapendwa wanashindwa kabisa kusimama kidete. Mimi naumia mno maana nina mdogo wangu alikua amepata Div 1 Mzumbe lakini akajiingiza kwenye unga siku hizi ni teja mno(naandika hokum machozi yananitoka, mama amejitahidi kumpeleka rehab znz na kigamboni but akirudi tu anarudia hali ileile). katika hali ya kawaida baada ya suala hili kuongelewa bungeni nilitarajia CCM ingeandaa maandamano kama chama chetu kifanyavyo kunapokua kuna masuala ya KITAIFA. LAKINI WAPI!. CCM mkumbuke kuwa vijana wengi wanakihama chama chenu kutokana na CCM kutokutujali sisi vijana, kumbukeni tunaoathirika wengi ni vijana. NAPE PLEASE MY BRO DO SOMETHING, YES U CAN, BRO!

umefika wakati wa wananchi kusimama kidete na kutetea maisha yao; kama tukisubiri hadi viongozi waseme nao wanaendelea kuwa mabubu hakukuna kitachofanyika zaidi ya wanyonge kuendelea kunyanyasika na kuharibikiwa. Hadi sasa sijaona hata hao wananchi wakisimama kwa umoja na kuongelea jambo la madawa. Kweli Watanzania ni Waoga loh tena uoga ule ambao hata mbinguni hatutapokelewa.
 
Wengi ndio wafadhili wakuu wa chama lako, hivyo nakushauri tu kaa utulie.
 
Nikiwa kama mwanachama hai wa ccm na kiongozi ndani ya chama changu. Nakilaumu sana chama cha Chadema kwa kutulazimisha kufanya biashara hii ya SEMBE kwa kasi na muda mrefu. Kwani nikiangalia historia inaonyesha tulikuwa tukipiga dili 4 au 5 tunapata pesa ya kuwanunulia wapiga kura wetu T-shirt na kanga, ila kwasasa Chadema walivyo wambea hasa mwenyekiti na katibu wao wamezunguka nchi yoto na kuwaambia wananchi wasidanganyike kwa T-shirt na kanga tena. Sasa ikabidi tutumie plane B. 2015 itabidi tumjengee kila mpiga kura wetu nyumba ili tupate kura, sasa wana Jf napenda mfahamu kuwa kumjengea m2 nyumba sio sawa na kupa T-shirt au kanga.
Kwasasa pesa tuliopata ni robo tu ya bajeti nzima sasa naomba muwe wavumilivu hadi mwezi December 2014 kama bajeti yetu itatimia basi amta sikia tena mambo ya SEMBE wala MENO YA TEMBO
Naomba wadau msikilaumu chama changu ccm ila tukilaumu CHADEMA kwa umbea wao
Aksante
 
Kinji muuza sembe maana yake baba yake anahusika, iddi azan, riziwani na babaake wote wanauza sembe. Kuna siku niliambiwa kuna mmiliki wa big bon maeneo ya sinza naye ndiye don mkuu wa hizi dili, is it mosha? Na mkuu alivyopewa list unadhani alïipeleka wapi? Aliwafuata hao jamaa na kuwaambia lazima wamgawie kila hela wanazovuna. Ndo maana unaona jamaa wako huru na wanavuna kwa hasira sana!
 
LEMUTUZ aka LEPIPOZ ebu tiririka mbona CHAMA CHETU KIPENDWA KINAPATA KIGUGUMIZI CHA UKUBWANI LINAPOKUJA SUALA LA SEMBE KAKA???
 
Back
Top Bottom