Kwanini CCM hutaka Rais aliyeko madarakani aongezewe muda!!

Mwalimu Kwa kinywa chake mwenyewe aliwahi kusema kuwa alitaka atoke madarakani mwaka 1980.

Lakini baada ya vita vya Kagera, viongozi wenzake ndani ya CCM wakasema siyo sawa atoke kwenye Urais wakati ndiyo kwanza nchi imetoka kwenye vita.

Lakini ilipofika 1985 Mwalimu aling'atuka madarakani. Alitoka huku Wana CCM wakishinikiza abaki.

Ilipofika zamu ya Ally Hassan Mwinyi kutoka madarakani, pia harakati za kubadili Katiba ili abaki madarakani, zikaanza.

Huko nyuma harakati hizo zilikuwa zinafanyika chini kwa chini, lakini ulipofika wakati wa John Magufuli, hoja zikafikishwa hadi Bungeni.

Sielewi lengo la Wana CCM huwa nini zaidi.
Mbaya zaidi hata chama kinachojiita chama kikubwa cha Upinzani cha Chadema sio tu kimeiga bali chenyewe kimeamua kutekeleza kabisa kwamba Mwenyekiti wa Chama cha Chadema Taifa Kamanda Freeman Aikaeli Mbowe atakuwa MWENYEKITI DAIMA. Na hadi sasa ana miaka 24 na mwaka huu anaongezewa miaka mingine 5! Yaani CCM wenyewe wanaongea tu wenzao wa Chadema wanafanya kwa vitendo!!!!!
 
Sio ccm wote bali wale wachache ambao wameisha jitengenezea kamrija kutokana na kiongozi aliepo
 
Mbaya zaidi hata chama kinachojiita chama kikubwa cha Upinzani cha Chadema sio tu kimeiga bali chenyewe kimeamua kutekeleza kabisa kwamba Mwenyekiti wa Chama cha Chadema Taifa Kamanda Freeman Aikaeli Mbowe atakuwa MWENYEKITI DAIMA. Na hadi sasa ana miaka 24 na mwaka huu anaongezewa miaka mingine 5! Yaani CCM wenyewe wanaongea tu wenzao wa Chadema wanafanya kwa vitendo!!!!!
Huo ni mtazamo wako Mtoto wa Shule.Kumbuka kuwa CHADEMA haijawahi kushika madaraka.Huo muda wa kubadilisha Mwenyekiti unatoka wapi?Kama Mwenyekiti anapigania demokrasia ya kweli lazima apambane hata kwa muda wa miaka hamsini na akifanikiwa ndipo mamlaka ya kiserikali itafanya kazi na hapo ni halali kukabidhi kijiti kwa mwingine kama alivyofanyaga Nelson Mandela kule Afrika ya Kusini.
 
Ahahahahaha!!!
 
Hao siyo wana CCM per se. Hao ni wale wateule wachache wanaonufaika na urais wa huyo rais. Tunarudi kule kule. Katiba yetu. Katiba yetu inampa rais nguvu za ki-mungu mtu, hivyo wanajua akibaki kwenye madaraka wana uhakika wa kuendelea kuula.
Na iseme yeyote anayetaka kufanya siasa awe na Bachelor ya Political Science na si darasa la saba.
Kama zilivyo kada nyingine ili kupunguza machawa na uchawa wa ku-brainwash watu wenye fikra chanya.
 
Ukiwabana sana wanasema ni utamaduni wa chama kuachiana vipindi vya miaka kumi kumi - na Rais ni LAZAMA awe mwenyekiti wa chama ili chama kiwe salama chini ya mwamvuli wa dola
 
Mwalimu Kwa kinywa chake mwenyewe aliwahi kusema kuwa alitaka atoke madarakani mwaka 1980.

Lakini baada ya vita vya Kagera, viongozi wenzake ndani ya CCM wakasema siyo sawa atoke kwenye Urais wakati ndiyo kwanza nchi imetoka kwenye vita.

Lakini ilipofika 1985 Mwalimu aling'atuka madarakani. Alitoka huku Wana CCM wakishinikiza abaki.

Ilipofika zamu ya Ally Hassan Mwinyi kutoka madarakani, pia harakati za kubadili Katiba ili abaki madarakani, zikaanza.

Huko nyuma harakati hizo zilikuwa zinafanyika chini kwa chini, lakini ulipofika wakati wa John Magufuli, hoja zikafikishwa hadi Bungeni.

Sielewi lengo la Wana CCM huwa nini zaidi.

Pia soma
Huko ccm wote wanashida ya afya ya akili
 
Attachments

  • Screenshot_2017-12-15-11-57-39-1.png
    Screenshot_2017-12-15-11-57-39-1.png
    233.9 KB · Views: 7
Mwalimu Kwa kinywa chake mwenyewe aliwahi kusema kuwa alitaka atoke madarakani mwaka 1980.

Lakini baada ya vita vya Kagera, viongozi wenzake ndani ya CCM wakasema siyo sawa atoke kwenye Urais wakati ndiyo kwanza nchi imetoka kwenye vita.

Lakini ilipofika 1985 Mwalimu aling'atuka madarakani. Alitoka huku Wana CCM wakishinikiza abaki.

Ilipofika zamu ya Ally Hassan Mwinyi kutoka madarakani, pia harakati za kubadili Katiba ili abaki madarakani, zikaanza.

Huko nyuma harakati hizo zilikuwa zinafanyika chini kwa chini, lakini ulipofika wakati wa John Magufuli, hoja zikafikishwa hadi Bungeni.

Sielewi lengo la Wana CCM huwa nini zaidi.

Pia soma
Jibu ni kwamba kuelekea uchaguzi mkuu huahirisha kufikiri Kwa nafsi zao, (unyumbu)
 
Back
Top Bottom