Kwanini ccm hawataki kukiri udhaifu

Kwanini ccm hawataki kukiri udhaifu

PATCHO

Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
79
Reaction score
10
Hali ya kisiasa inayoendelea nchini inajidhihirizha wazi kwamba ccm wako taabani kisiasa na wanachokifanya ni kujikaza kisabuni
 
Wewe wasema ila uwe tayari kuyakiri hayo Oktoba pia ..usimwone simba kainama
 
CCM hawataki kukiri madhaifu yao kwasababu udhaifu huo umechochewa na mwenyekiti wao wanaomuogopa kumnyooshea kidole.
 
Tatizo kubwa lililopo CCM ni kwamba kuna watu wachache wanafanya CHAMA CHA FAMILIA,na Pia KIBURI CHA VIONGOZI. acha UKAWA wachukue kwa miaka mitano CCM ijipange upya tena kwani its too late,october keshokutwa.
 
Watu ni wa ajabu sana,ww umeambiwa na watu waliokuwa ndani ya mkutano mkuu wa CCM kuwa mwenyekiti alikuwa na majina yake matano mfukoni kumbe wagombea kama akina Pinda,Lowasa na wengine walikuwa wanapoteza muda bure,tukumbuke Zile million 700 zililetwa na Jk ili Membe apite, leo Kikwete amekiua chama waziwazi,wajinga na wapumbavu wachache macho,masikio na ubongo wao vimekufa wala havifanyi kazi hivyo hawaoni chochote hii ni aibu na ni ujinga uliopitiliza kabisa kushabikia mwenyekiti anayegeuza chama kuwa cha familia.Hata kama hawataki kukir watanzania hawawataki tena CCM habar ndio hiyo.
 
Mfa Maji Haishi Kupatapa Mpaka Pumzi Yake Ya Mwisho
 
Back
Top Bottom