Muda mrefu sana Reli zote tatu kubwa na zenye kuweza kuinua uchumi wa nchi na bado ikatoa ajira kwa vijana wengi wa Tanzania lakini chama chetu cha mapinduzi kimeshindwa kuendeleza mradi huu matokeo yake reli ya Tanga na Moshi ni kama mabaki ya kale imebaki historia mashuleni.
Nauliza tuu ni kwamba hatuna uchungu na hii reli au madhumuni ya kujenga reli yalishatimia na hakuna tena biashara ya utumwa tena ndo maana ccm wameamua kuipotezea.Nitaandaa mjadala wa kitaifa kuona ni jinsi gani ajali za barabarani zinavyomaliza ndugu zetu kwa kasi ya ajabu,lakini tungekuwa na usafiri wa treni watu wangejichagulia aina ya usafiri wanaotaka.mimi binafsi napenda sana usafiri wa treni.