1. Tunachangamoto ya kibiashara baina yetu na malawi, inashindikana vipi kueeka hali hiyo sawa ? Sio busara kabisa kukomoana ili hali wanaoumia ni wenye mazao na maskini.
2. Kesi za mahakamani zinazoendelea kama mahakama ni chombo huru kwa nini kinaingiliwa na vyombo vingine ?
3. Bunge sasa halina meno tena hii inasababoshwa na nini ?
4. Wazee wangu na washauri wa rahisi juu ya uchumi wa nchi yetu. Zungumzeni kitu tunaoumia ni mimi na wewe ambao bado tunategemea huruma ya serikali kwenye ajira, Afya, Elimu na Miundombinu.