Kutokumuona binadamu mwenzio tena hii ni simanzi kubwaHabari zenu wakuu?leo nilikiwa nafkiria kuhusu kifo nikawa najiuliza hilo swali hapo juu,kwanini watu hawazoei kifo ingawa ni jambo ambalo huwa linatokea kila siku katika jamii?
Mtu unazaliwa mpaka unakua unasikia habari za watu kufa kwa namna moja au nyingine wakiwa watoto vijana na wazee hakichagui umri wengine ni watu wa karibu yako lakini bado hauzoei.
Kuna msemo unasema kila nafsi itaonja mauti na wengi wanalijua hili kwamba lazima tufe hata tufanyeje, ukiiishi kwa wema utakufa ukiishi kwa ubaya utakufa, ukiwa maskini utakufa ukiwa tajiri utakufa sasa kwanini tunaogopa wakati hiki kifo hakiepukiki?inafikia muda watu huogopa kudai haki zao za msingi kwa kutishiwa kuuwawa wakati anajua atakufa tu!
Hiki kifo kinatumiwa kama silaha na watawala kufanya mambo yao bila ya tabu.
kwanini wanapokufa watu wetu wa karibu huwa tunalalamika na kuhuzunika?
Kama wapo wasioogopa kifo au kuondokewa na jamaa zao nadhani dunia nzima hawazidi %5
sasa swali langu ni hilo kwanini hiki kifo hakizoeleki?
Je kwasababu ya kutopewa elimu juu ya jambo hili au elimu inayotolewa ni ya kubahatisha yani hao wanayoifundisha hawana uhakika na wanalosema?
mwisho tufanyeje ili tukizoee kifo tusikiogope?
karibuni wote tujadili wenye kuamini Mungu yupo na wasio amini uwepo wake,wenye dini na msio na dini karibuni sana.View attachment 1155838
Nafikiri mtoa mada case study yako umeangalia kwa upande wa afrika tu ambapo asilimia kubwa kufa ni jambo lisilozoeleka na tukio hilo umbatana na vilio vya kutosha. Kwa baadhi ya nchi za wenzetu ni tofauti kidogo msiba unaweza kutokea kwa Jirani usisikie fyuuu wala fyeee bali ni kimya kimya mpaka anapopumzishwa kwenye nyumba yake ya milele. Nafikiri issue kubwa ni uelewa na watu wanavyoperceive hilo tukio.Habari zenu wakuu?leo nilikiwa nafkiria kuhusu kifo nikawa najiuliza hilo swali hapo juu,kwanini watu hawazoei kifo ingawa ni jambo ambalo huwa linatokea kila siku katika jamii?
Mtu unazaliwa mpaka unakua unasikia habari za watu kufa kwa namna moja au nyingine wakiwa watoto vijana na wazee hakichagui umri wengine ni watu wa karibu yako lakini bado hauzoei.
Kuna msemo unasema kila nafsi itaonja mauti na wengi wanalijua hili kwamba lazima tufe hata tufanyeje, ukiiishi kwa wema utakufa ukiishi kwa ubaya utakufa, ukiwa maskini utakufa ukiwa tajiri utakufa sasa kwanini tunaogopa wakati hiki kifo hakiepukiki?inafikia muda watu huogopa kudai haki zao za msingi kwa kutishiwa kuuwawa wakati anajua atakufa tu!
Hiki kifo kinatumiwa kama silaha na watawala kufanya mambo yao bila ya tabu.
kwanini wanapokufa watu wetu wa karibu huwa tunalalamika na kuhuzunika?
Kama wapo wasioogopa kifo au kuondokewa na jamaa zao nadhani dunia nzima hawazidi %5
sasa swali langu ni hilo kwanini hiki kifo hakizoeleki?
Je kwasababu ya kutopewa elimu juu ya jambo hili au elimu inayotolewa ni ya kubahatisha yani hao wanayoifundisha hawana uhakika na wanalosema?
mwisho tufanyeje ili tukizoee kifo tusikiogope?
karibuni wote tujadili wenye kuamini Mungu yupo na wasio amini uwepo wake,wenye dini na msio na dini karibuni sana.View attachment 1155838
Ila trust me hatutaenda kokote mkuu Bali tunapokufa tunakuwa non-existed kama tunavyokuwa wakati hatujazaliwa.Kukosa uhakika wa mahali uendapo inatisha na kuogopesha sana,.
Hiyo sasa ni IMANIIla trust me hatutaenda kokote mkuu Bali tunapokufa tunakuwa non-existed kama tunavyokuwa wakati hatujazaliwa.
Jibu fupii
Dini ndizo zinazo jaza watu huu upumbavu na hofu nyingi..
Sijui kwa nini watu wanashindwa kuelewa hiiIla trust me hatutaenda kokote mkuu Bali tunapokufa tunakuwa non-existed kama tunavyokuwa wakati hatujazaliwa.
No existed kivpIla trust me hatutaenda kokote mkuu Bali tunapokufa tunakuwa non-existed kama tunavyokuwa wakati hatujazaliwa.
Mkuu wewe huogopi kufa?