yaani mwanamke anafanya tendo la ndoa na mwanamume anabeba ujauzito mtoto anazaliwa nyie mnasema mmeumbwa. kweli akili zetu ni zero
Wewe God hater,unataka kujua kweli kama Mungu Yupo? Unaamini Sayansi Na Huamini Ktk Uwepo Wa Mungu? Sasa Fanya Hivi ili ujue uwepo wa Mungu,chukua Karatasi Nyeupe,andika Majina Yako Yote Matatu Kwa Wino Mwekundu,na Chini Yake Uandike Hivi Kwa Mfano:mimi Chaha Magaka Kiranga Nasema Wazi Kuwa Hakuna Mungu,na Kwa Kauli Yangu Kama Kweli Kuna Mungu Sitaamka Nitalala Milele,ichukue Karatasi Hiyo Kisha iweke kwenye Biblia Ktk Ukurasa Wowote Wa Kitabu Cha Mwanzo,usiku Ukiingia iweke Biblia Hiyo Ktk Mto Wa Kitanda Chako Unacholala,ukienda Kulala Hakikisha Hiyo Biblia ipo kwenye mto unaolalia,yaani chini ya mto,hakikisha unalala chali,SUBIRI MATOKEO UTAONA.
kukataa kwamba Mtu hajauubwa na Mungu unatakiwa uje na hoja mathubuti za kuzibitisha mtu alitokanaje.? na ilikuwaje hadi akawepo katika huu ulimwengu huu.
Kututoa hoja za kuzibitika kwamba mtu alitoka wapi? basi haina haja yakuendelea kubisha na kuuliza maswali ya kwanini kwa kitu ambacho hoja yako hujaijengea misingi ya kuitetea.
Wewe God hater,unataka kujua kweli kama Mungu Yupo? Unaamini Sayansi Na Huamini Ktk Uwepo Wa Mungu? Sasa Fanya Hivi ili ujue uwepo wa Mungu,chukua Karatasi Nyeupe,andika Majina Yako Yote Matatu Kwa Wino Mwekundu,na Chini Yake Uandike Hivi Kwa Mfano:mimi Chaha Magaka Kiranga Nasema Wazi Kuwa Hakuna Mungu,na Kwa Kauli Yangu Kama Kweli Kuna Mungu Sitaamka Nitalala Milele,ichukue Karatasi Hiyo Kisha iweke kwenye Biblia Ktk Ukurasa Wowote Wa Kitabu Cha Mwanzo,usiku Ukiingia iweke Biblia Hiyo Ktk Mto Wa Kitanda Chako Unacholala,ukienda Kulala Hakikisha Hiyo Biblia ipo kwenye mto unaolalia,yaani chini ya mto,hakikisha unalala chali,SUBIRI MATOKEO UTAONA.
Maana ya ROHO ni mada defu sana kiifanunua, lakin kwa ufupi roho ni uhai unamuwezesha kiumbe hai kuishi.
Nafikiri utakuwa umenielewa.
Huhitaji kujua square root ya mbili ni nini ili kujua si nane.
In fact hakuna anayejua square root ya mbili ni nini accurately, kwa sababu ni "irrational number", it can only be approximated.
Lakini hili halitufanyi tukubali square root ya mbili ni nane mpaka tutakapoweza ku prove accurately square root ya mbili ni nini.
Kwa kusema kwamba kukataa mtu hajaumbwa na mungu ni lazima uwe na hoja madhubuti mtu alitokana na nini ni sawasawa na kusema kukataa square root ya mbili si nane inabidi uwe na accurate square root of two.
The refutation is not only absurd, but it also rejects a gradual convergence towards verifiable truth by elimination of the verifiably discarded.
Sasa utawezaje kutengeneza mtu bila ya roho?mtu ni roho bila ya roho huwezi kumwita mtu tena,tukiweza kutengeneza roho ndio tumeweza kutengeneza mtu.
Unafikiri kila mtu anajua maswala ya square root?
acha kuleta blaah blbh kwenye hoja ambayo huwezi kama hii.
huwezi ukeleta hoja ya kwamba hakuna mungu kwa kuwa hujui square root ya mbili ni gapi?
kwanza hapo hujajibu swali umetoa mfano. huwezi ukatagemea kutoa hoja kwa kutegemea mifano 100%
Hujui kuhusu square root unataka kutuambia unajua kuhusu logic ya uwepo wa mungu.
Unasifia ujinga.
Kazi kweli kweli.
Huhitaji kujua square root ya mbili ni nini ili kujua si nane.
In fact hakuna anayejua square root ya mbili ni nini accurately, kwa sababu ni "irrational number", it can only be approximated.
Lakini hili halitufanyi tukubali square root ya mbili ni nane mpaka tutakapoweza ku prove accurately square root ya mbili ni nini.
Kwa kusema kwamba kukataa mtu hajaumbwa na mungu ni lazima uwe na hoja madhubuti mtu alitokana na nini ni sawasawa na kusema kukataa square root ya mbili si nane inabidi uwe na accurate square root of two.
The refutation is not only absurd, but it also rejects a gradual convergence towards verifiable truth by elimination of the verifiably discarded.
hahahahahahahaha uchawi kabsa. kitu kama hicho nakifanya mimi usiku wa leo..
shida ni kwamba hata hizi formula unazotumia ni za viumbe wanaotumia kuvuta oxygen na kutoa carbon dioxide, ndani ya box la wajinga ukajiona we ni muelewa ni upumbavu tu ukitoka nje ya hapo ni uthubutu na uelevu uliotukuka kwa jamii
Huyu sasa mungu au uchawi?
Hizi habari zina tofauti gani na za vigagu?
Na nikifanya hivyo usiku wa leo nikiamka salama itakuwaje?
shida ni kwamba hata hizi formula unazotumia ni za viumbe wanaotumia kuvuta oxygen na kutoa carbon dioxide, ndani ya box la wajinga ukajiona we ni muelewa ni upumbavu tu ukitoka nje ya hapo ni uthubutu na uelevu uliotukuka kwa jamii
Ukifanya Hivyo Ukaamka Salama Basi Endelea Kuamini Kuwa Hakuna Mungu.ila najua endapo utafanya hivyo ndo kwa heri,tutaletewa taarifa kuwa kiranga is no more.
Shida ninkwamba huyo mungu mnayesema kaumba vyote nimewaomba mthibitishe kwamba yupo, mpaka leo hamjathibitisha.
kwasababu alishaaema yeyw ni mungu mwenye wivu. Sihitaji swali hapo.kwanini mungu hawezi kumuumba mungu mwingine mwenye uwezo zaidi yake?!