Hawa wa mwisho hawa, ndio balaa......wakishaona umeingiza tufaida tuu kidogo wanaona pa kunyonya ni balaaMoja ya biashara zangu kufeli sababu ni hizi zifutazo;
*Multiple business- nilikua namazoea ya kufanya biashara nyingi kwenye kafaida kadogo nilikokua nakapata kwenye baishara ya kwanza huku kenyewe kakiwa hakajakomaa..
*Kumiliki madem zaidi ya mmoja[emoji26]
Wengi wanaelewa
*Kuachia mtu biashara Yangu[emoji17] kipindi nilipokua nimebanana na shughuli za kimasomo
*Uboreshaji wa Huduma/biashara sikua na uzingatia [emoji26] poor me
.... *[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]Ndugu pia dah.....
Ulienda kwa wataalam kuset radar kwaajili ya biashara yako?Habarini wapendwa, uzi huu ni mahsusi kwa ajili ya wote ambao waliwahi kuwa na biashara na huenda zilifeli, hivi sasa wamebadilisha ama wanaendelea nazo zikiwa na mafanikio
Lengo ni kutoa funzo kwa wengine, wanaotaka kuanza biashara hizo, nini wazingatie.
Kwa upande wangu, mwaka 2020, nili set biashara ya chipsi chuo fulani hapa Dar, mwanzoni mambo yalikuwa yanaenda vizuri, nilikuwa nakimbiza na faida inaonekana, hata hivyo, wakati huo mdogo wangu alikuwa anamaliza kidato cha nne, alikuja pale akawa anapata pata experience, sasa wakati aote huo, nilimuona amesha master na anaendelea vizuri kabisa, nikaamua nijitose kwenye kataaluma kangu kutafuta kibarua, ili nijiongezee kipato..
Kilichotokea sikuweza kuamini, kuanzia mwaka jana mwezi wa tatu mpaka wa tano biashara ikaanza kuyumba, kuna muda kiasi kinachokusanywa kwa wiki ni kilio tupu, mana nilihamia kigamboni na kwenda mpaka Temeke ilikuwa shughuli kidogo. Nikawa natembelea mara moja moja, aisee, wateja walikuwa wamepungua na chuo kilikuwa hakijafunga wala nini,
Kumbe dogo alikuwa anakula mno totoz za pale, na yeye alikuwa anamuachia mtu, inafika kipindi wateja wanajikuta wana kazi ya kutengeneza bond na mtu mwengine, dogo kaenda kufanya umalaya mtaani humo, kuna wakati alikuwa hafiki kabisa ofisini, mademu walishamchanganya.......aisee, nikaona kila kukicha ni hasara, na vitu kama mafuta yalikuwa yanapanda bei, ku control ilikuwa shida kidogo........
Nikaona isiwe shida, mwezi wa saba niliuza vikoro koro vyote.. nikatuliza kahela kangu kakae kae lakini mwisho hela haikai..
Vipi kwa upande wako?
Nyota tena [emoji849][emoji849]biashara kufeli kuna mambo mengi japo wengine wataleta kisomi,wengine nyuma ya pazia na wengine ujinga wao.
Kisomi
*wakati wa biashara yenyewe
*maeneo ya biashara na fursa
*mtaji unakwenda na biashara
*changamoto na matumizi
*kwendana na kisasa
Nyuma ya pazia
*nyota yako ndio imekubali hiyo biashara
*hupo vizuri kukabiliana na wasio taka biashara yako
ujinga
*kutokukubali mabadiliko
*matumizi mabovu
Kwa case yako biashara haikufeli ni wewe ulifeli.Kufeli kwa biashara kunasababishwa na Ushindani,Mabadiliko ya kiuchumi.Kufeli wewe ni kushindwa kuhudumia wateja,kushindwa kutoa bidhaa au hudumanbora au kupoteza TRUST kwa wateja.Hata hivyo biashara nyingi hufeli kwa sababu wamiliki au waendeshaji wamefeli.Habarini wapendwa, uzi huu ni mahsusi kwa ajili ya wote ambao waliwahi kuwa na biashara na huenda zilifeli, hivi sasa wamebadilisha ama wanaendelea nazo zikiwa na mafanikio
Lengo ni kutoa funzo kwa wengine, wanaotaka kuanza biashara hizo, nini wazingatie.
Kwa upande wangu, mwaka 2020, nili set biashara ya chipsi chuo fulani hapa Dar, mwanzoni mambo yalikuwa yanaenda vizuri, nilikuwa nakimbiza na faida inaonekana, hata hivyo, wakati huo mdogo wangu alikuwa anamaliza kidato cha nne, alikuja pale akawa anapata pata experience, sasa wakati aote huo, nilimuona amesha master na anaendelea vizuri kabisa, nikaamua nijitose kwenye kataaluma kangu kutafuta kibarua, ili nijiongezee kipato..
Kilichotokea sikuweza kuamini, kuanzia mwaka jana mwezi wa tatu mpaka wa tano biashara ikaanza kuyumba, kuna muda kiasi kinachokusanywa kwa wiki ni kilio tupu, mana nilihamia kigamboni na kwenda mpaka Temeke ilikuwa shughuli kidogo. Nikawa natembelea mara moja moja, aisee, wateja walikuwa wamepungua na chuo kilikuwa hakijafunga wala nini,
Kumbe dogo alikuwa anakula mno totoz za pale, na yeye alikuwa anamuachia mtu, inafika kipindi wateja wanajikuta wana kazi ya kutengeneza bond na mtu mwengine, dogo kaenda kufanya umalaya mtaani humo, kuna wakati alikuwa hafiki kabisa ofisini, mademu walishamchanganya.......aisee, nikaona kila kukicha ni hasara, na vitu kama mafuta yalikuwa yanapanda bei, ku control ilikuwa shida kidogo........
Nikaona isiwe shida, mwezi wa saba niliuza vikoro koro vyote.. nikatuliza kahela kangu kakae kae lakini mwisho hela haikai..
Vipi kwa upande wako?
vizuri sana.Aisee sikwenda, ila mbona nilikuwepo mambo yalikuwa yanaenda tu