Hapa naongelea biashara zote ambazo zinakatazwa na serikali, kama vile bangi, madawa ya kulevya, biashara za watu.
Ukianza kufanya hizi biashara utakua tajiri sana.
Naombeni wenye ujuzi wahaya mambo kwaninj hizi biashara zina faida sana.
Kwa sababu ni haramu hivyo zinafanywa na wachache, hakuna competition kubwa, wateja ni wakufikia. Mfano ukiruhusu kulima bangi haitakuwa na soko tena maana kila mtu atalima na atakosekana wa kuuzia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.