Dr wa Kaliua
JF-Expert Member
- Sep 20, 2020
- 1,634
- 3,883
Kwa sasa bajaji imefikia 8.4m wakati mwezi uliopita zilikuwa 7.5m
Kwanini inakuwa hivi?
Mwenye ujuzi tafadhali!
Kwanini inakuwa hivi?
Mwenye ujuzi tafadhali!
Mpyaa. Mbona fresh tu.Yaani nitoe 8m ninunue bajaji
Labda nirogwe
Huu ni mwezi wa sita hujui mwezi uliopita ulikuwa wa ngapi??Mwezi uliopita upi bajaji ilikua 7.5m....?