Kwanini bahari haijai?

Ni kwa sababu ya system aliyoiweka Mungu, yaani jua linapowaka linafanya maji yachemke na ku evaporate kwenda angani.

Mvuke huo huganda na kuwa either snow milimani au mawingu ya mvua ambayo hunyesha tena nchi kavu na maeneo mengine. Maji ya mvua hutiririka tena na kurudi baharini au kuwa absorbed ardhini.

So hata mito itiririshe maji kiasi gani kwenda baharini. Bahari haitojaa kwa vile bado nayo inapoteza maji kupitia mvuke.

Hii cycle itaendelea ku keep the sea from overflowing.
 
Habari za mchana wananzengo

Mito,Mifereji na vyanzo vingine vya maji hutiririsha maji yake kuelekea baharini

Naombeni kuuliza--ni kwanini bahari haijai?
Haijai kwasababu bado hayo maji ni maji yake.

Yanavukizwa, kisha mawingu alafu mvua. Baada ya mvua mito inayarudisha maji hayohayo baharini

Kiujumla maji ni mamoja
 
Jibu no rahisi Sana, chukua maji kwenye ndio, zungusha mabomba madogo ya juzungusha maji Kisha Hilo Bomba lielekeze kwenye ndio hiyo hiyo Kama tunavyoona kwenye mahotel jumbani mwetu kwenye sehemu ya kutiririshia maji mapambo.

Kwa ufupi maji ya bahari hupenyeza kwenye ardhi, miamba na kusambaza Chini ya ardhi tunapochimba tunayarudisha Tena juu. Bahari inapopigwa jua mvuke huenda juu na kutengeneza wingu ambalobaadae huyudi Chini Kama mvua.

Huo mzunguko hauwezi kujaza maji bahari zaidi kumaintain.

Sasa nyongeza ya maji tunaipata kutoka kwenye barafu inayoyeyuka kwenye Northern and Southern poles.

The rest I recycling
 
Mkuu kiasi Cha maji kinachopotea kupitia mvuke ni sawa na kiasi Cha maji konachoingia baharini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…