kwanini baadhi ya wasichana wana jealous?

mhalisi

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
1,181
Reaction score
322
wadau kuna jambo nimeliexperience kwa muda sasa kuhusiana na tabia za baadhi ya wasichana. ni hivi mwanaume unaweza kuwa na urafiki wa kawaida kwa maana ya mazoea na msichana fulani, siku za mbeleni ukianza pia kuwa na urafiki wa kawaida na msichana mwengine yule msichana wa mwanzo unakuta anakuwa ana jealous na wewe kuwa na urafiki na msichana mwingine ingawa unakuta hauna mahusiano yoyote ya kimapenzi na wasichana wote wawili bali ni kuzoeana tu. je hii tabia ya baadhi ya wasichana inatokana na nini? tujadili wadau....
 
As I said earlier,it is what it is
 

Attachments

  • 1405850465438.jpg
    8.1 KB · Views: 561
  • 1405850487616.jpg
    9.8 KB · Views: 563
  • 1405850504151.jpg
    9.6 KB · Views: 556
  • 1405850522745.jpg
    9.4 KB · Views: 557
  • 1405850536836.jpg
    9.3 KB · Views: 554
  • 1405850550116.jpg
    7.6 KB · Views: 551
  • 1405850564818.jpg
    7.9 KB · Views: 547
  • 1405850578956.jpg
    8.4 KB · Views: 554

Nenda shule little man uengeze kipato
 
urafiki tu mnajadili nini? Aliyenuna mpige kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…