Bi dada tunajitahidi kufuata hii falsafa lakini na nyie mnazidi sasa wakati hamtoiUkiwa bahili hakuna nyumba ndogo atakayekung'ang'ania .
Mbona tunafunguka pochi, ila tatizo unalenga nikimpa yeye 50 na wewe ule 50. akipewa yeye laki mbili na wewe upewe 200. Halafu mnabana sana au sijui kwa kuwa nafukuzia below 22 yrs. yaani mashakaUchoyo na NYUMBA ndogo haviendani. Yani una mkeo ndani halafu ukija kwangu utegemee mapenzi ya maneno matupu?
sijakufahamu mkuuHiyo namba ii siyo kweli, kuchepuka haijalishi unamwanamke gani
Kina nani hao??Uzembe wao wenyewe tu
HahahahahhahahahahaNaona bei za appartments zimeshuka na bado hakuna wateja. Kweli mambuzi yamekata kamba.
Unadhani bi mdogo hatugharamiki?? tatizo wanataka watukwanguevya bure gharama mkuu
Mkuu huyu ni mimi kabisa yani. Hasa namba 1 na 2.Wadau,
Mwanaume rijali yeyote kikawaida hawezi asilan abadan akabaki na mwanamke mmoja tu. Maana kimsingi mwanamke anaingia katika siku zake, sometimes anaingia katia kipindi cha kujifungua na kadhalika na kadhalika. In nature hata Mungu alivyotuumba sisi wanaume ni lazima tuwe na mwananmke zaidi ya mke mmoja either kihalali au kiharamu (chaguo ni lako)
Sasa kuna baadhi ya wanaume HATUPATI nyumba ndogo, na hakika kuna sababu za msingi tu juu ya hali hiyo, naomba ni-list baadhi ya sababu na nyengine mtaongezea wenyewe.
(i) Kuna baadhi yetu hatuhongi, na tukihonga pesa ndogo tu ukawa bado unataka kuendelea kuchuna bila kutoa game huwa tunaondoka maana wewe ni nyumba ndogo tu na mke yupo
(ii) Wake zetu huwa ni wazuri zaidi kuliko wengi wa vimada waliopo sokoni, kwa hiyo sometimes tunaona bora nusu shari
(iii) Nyumba ndogo zinadanga sana, na sisi wanaume tunapenda kuwa na milki, yaani napendelea niwe peke yangu tu.
(iv) Nyumba ndogo nyingi zinataka zihudumiwe sawa sawa na mke, hicho kinakuwa kikwazo kikubwa.
(v) Vyuma vimekaza na hilo linachangia uwezo wa kuhudumia kupungua.
Unadhani bi mdogo hatugharamiki?? tatizo wanataka watukwangue
Usichepuke!mwone mkeo mpya!mfanye awe mpya!mnakera sana kujitanabaisha tht kuchepuka ni urijali
hhhhaa na mm baba alikua anatuita udogoni kiutani!ng"wana manengelo!mm ht maana yake siijui lol!manengelo ni jina langu la utotoni 😃
Mkuu kumbe kuna ufanano??? hahahahahahhahahahahaMkuu huyu ni mimi kabisa yani. Hasa namba 1 na 2.
Are you saying nimwage tu mihela na akitoa game nimkomoe???eeeh umkule akukule...hutaki liwa kukwanguliwa tulia na nyumba kubwa
Kwako hata sibishi, halafu unajua nini?? hizi nyumba ndogo sio kama tunazizuiaga zisiwe na privae business zao huko, kikubwa tu kwa vile mimi ndio nasababisha basi nkikuita hata huyo boya wako umwambie "ngoja niende kwa huyu msela maana ndio ananiweka town"Nani awe nyumba ndogo yako wewe? Ukitoka tunaingiza kitu
Sasa boya nani kati yako Na yeye.Kwako hata sibishi, halafu unajua nini?? hizi nyumba ndogo sio kama tunazizuiaga zisiwe na privae business zao huko, kikubwa tu kwa vile mimi ndio nasababisha basi nkikuita hata huyo boya wako umwambie "ngoja niende kwa huyu msela maana ndio ananiweka town"
Inategemea ntu na ntu! tafusiri na tafusiriSasa boya nani kati yako Na yeye.
Hao hao wenyewe hao wazembe wa kutochepukaKina nani hao??
Nani awe nyumba ndogo yako wewe? Ukitoka tunaingiza kitu
Mwanaume asiyechepuka Hana urijali wowote.Usichepuke!mwone mkeo mpya!mfanye awe mpya!mnakera sana kujitanabaisha tht kuchepuka ni urijali