Sheillah Sheillah
JF-Expert Member
- Jun 17, 2020
- 695
- 1,803
Wanaume waoga na wasiojiamini ndio hupenda wanawake wawe chini. Inshort hao Ni insecure people wanaamini ili wawe wanaume kamili lazima wamnyanyase mwanamke, pia Mila na desturi nyingi bado ni tatizo hasa Africa.
Muulize kwanza mwenyezi mungu ambae hakumuumba mwanamke, bali akamtoa tu ubavuni mwa mwanaume..Habari?
Hebu Leo semeni ni kipi ambacho kinafanya mchukie feminism? Hamjiamini? Au mnaogopa kutawaliwa?.
Kuna tatizo gani mwanamke akijua haki zake na kuzisimamia?.
Hata nikizeeka Kuna shida nilizaliwa kufanya makubwa zaidi kuliko kufanya vitu visivo happy, Kuna watu wameoa, olewa with nothing to show zaidi ya viungo vya uzazi ambavyo kila mtu anacho.Utazeekea kwenu, hata vitabu vya dini havijampa mamlaka mwanamke juu ya mwanaume
Hata nikizeeka Kuna shida nilizaliwa kufanya makubwa zaidi kuliko kufanya vitu visivo happy, Kuna watu wameoa, olewa with nothing to show zaidi ya viungo vya uzazi ambavyo kila mtu anacho.
So depending na uelewa wa mtu na mipango yake
Wewe unafaa kuolewa na mwanaume mwenye element za kike la sivyo utakuwa unachezea mabanzi kila siku.Wanaume waoga na wasiojiamini ndio hupenda wanawake wawe chini. Inshort hao Ni insecure people wanaamini ili wawe wanaume kamili lazima wamnyanyase mwanamke, pia Mila na desturi nyingi bado ni tatizo hasa Africa.
Maneno ya mkosaji. Pole sanaHata nikizeeka Kuna shida nilizaliwa kufanya makubwa zaidi kuliko kufanya vitu visivo happy, Kuna watu wameoa, olewa with nothing to show zaidi ya viungo vya uzazi ambavyo kila mtu anacho.
So depending na uelewa wa mtu na mipango yake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tena na uzee huuManeno ya mkosaji. Pole sana
Wewe sio mzee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tena na uzee huu
Kupenda league isiyokuwa na mpango.Habari?
Hebu Leo semeni ni kipi ambacho kinafanya mchukie feminism? Hamjiamini? Au mnaogopa kutawaliwa?.
Kuna tatizo gani mwanamke akijua haki zake na kuzisimamia?.