Ila Kuna wajinga wengi wamemaliza hivo vyuo vikubwa hamna kitu kichwani mimi kaka yangu kamaliza university of oslo huko norway na hamna kitu namshinda hata mimi niliomaliza bongo hapa...huwa namsaidia kazi za ofisini kwake....ukubwa wa chuo sio elimu wajuba.Sasa ulitaka ufananishe product za Udsm na za Zayoni Au Ze Amazon Collage??? Nani alikwambia ukasome vyuo vya maghorofani...
Kwa experience yangu MUHAS vs Bugando naweza kusema Bugando ndo wanatoa madaktari wazuri. Watoto wa MUHAS ninaowajua wengi viande.
Siku ukiwa mwajiri unaweza kuwaelewa kidogo wasiotaka kuajiri wahitimu wa vyuo fulani fulani.
ni kweli unalosema ,lakini vijana tutapata vipi hiyo chance ya kulearn at workplace kama wanaotakiwa ni 3-5 years of experience ?Wengi kitu hawajui ni kuwa unachosoma chuoni ni asilimia kidogo mno (less than 10% ) kiko applicable at the workplace,
Ukiajiriwa you will learn, relearn and relearn to catch up na uwe productive. Kuna gap kubwa kati ya unachosoma darasani na workplace,
Ndio maana haina maana yotote ya chuo ulichosoma, it’s just you as individual and how you connect what you have gone through at your college na kazi unayoomba,
Nimebahatika kufanyia madogo wa chuo interview, toka vyuo vikubwa Tz,
Wengi wao hawawezi hata kurelate walichosoma na kazi wanazoomba, mbali ya kuwa Lugha ya malkia huwa ni changamoto,
Kuna haja ya Vyuo yetu kujifunza mahitaji ya soko kwa washikadau, waajiri hasa sekta binafsi ili wawaandae vijana waendane na mahitaji ya soko
Wale watoto wa pale ni Bata mwanzo mwisho katika kipindi chote cha masomo yao! Waacheni wazurure m bahasha waleBongo bahati mbaya..hata wewe uwe na kampuni yako unaanzaje kuajiri product ya udom kweli.
#MaendeleoHayanaChama
HII IWE YA SAUTI YA JUU SANA. hata udsm usipojiweka kujifunza namna unacho Soma kinaendaje kuwa real kwenye jamii hasa social science, unawez pata GPA kubwa ambayo kazini hata nusu yake huifikiiWengi kitu hawajui ni kuwa unachosoma chuoni ni asilimia kidogo mno (less than 10% ) kiko applicable at the workplace,
Ukiajiriwa you will learn, relearn and relearn to catch up na uwe productive. Kuna gap kubwa kati ya unachosoma darasani na workplace,
Ndio maana haina maana yotote ya chuo ulichosoma, it’s just you as individual and how you connect what you have gone through at your college na kazi unayoomba,
Nimebahatika kufanyia madogo wa chuo interview, toka vyuo vikubwa Tz,
Wengi wao hawawezi hata kurelate walichosoma na kazi wanazoomba, mbali ya kuwa Lugha ya malkia huwa ni changamoto,
Kuna haja ya Vyuo yetu kujifunza mahitaji ya soko kwa washikadau, waajiri hasa sekta binafsi ili wawaandae vijana waendane na mahitaji ya soko
Umenena vyema kaka,Wengi kitu hawajui ni kuwa unachosoma chuoni ni asilimia kidogo mno (less than 10% ) kiko applicable at the workplace,
Ukiajiriwa you will learn, relearn and relearn to catch up na uwe productive. Kuna gap kubwa kati ya unachosoma darasani na workplace,
Ndio maana haina maana yotote ya chuo ulichosoma, it’s just you as individual and how you connect what you have gone through at your college na kazi unayoomba,
Nimebahatika kufanyia madogo wa chuo interview, toka vyuo vikubwa Tz,
Wengi wao hawawezi hata kurelate walichosoma na kazi wanazoomba, mbali ya kuwa Lugha ya malkia huwa ni changamoto,
Kuna haja ya Vyuo yetu kujifunza mahitaji ya soko kwa washikadau, waajiri hasa sekta binafsi ili wawaandae vijana waendane na mahitaji ya soko
Sikupingi ila ndio majina ya vyuo vyao yanawabeba.Ila Kuna wajinga wengi wamemaliza hivo vyuo vikubwa hamna kitu kichwani mimi kaka yangu kamaliza university of oslo huko norway na hamna kitu namshinda hata mimi niliomaliza bongo hapa...huwa namsaidia kazi za ofisini kwake....ukubwa wa chuo sio elimu wajuba.