Kwanini baadhi ya Taasisi zinabagua wanafunzi wa baadhi ya Vyuo

sekhal

Member
Jul 21, 2016
44
37
Habari zenu wanaJF

Kuna hili swala naomba kuuliza Kwann baadhi ya taasisi znabagua candidates wa kuomba kazi?
mfano unakuta post ya Kaz inasema priority n watu wa chuo fulan, au ukimfuata hr / director anakuambia siajiri chuo fulan

Hii inamaana gani ? Ni kwamba hawawaamini NACTE na TCU au wana maslahi yao binafsi?

Nazipongeza taasisi zote znazotoa ajira bila kuzingatia umetoka chuo gan bali uwezo na weledi katika interview Mungu awaongoze.

Sio wote tutasoma UDSM/SUA /MUHAS wengne tupo St John, MUM, KIUT, KCMC, Bugando, UDOM etc... kutubagua haileti picha nzuri katika taasisi yako.
 
FB_IMG_16473596739183188.jpg
 
Sasa ulitaka ufananishe product za Udsm na za Zayoni Au Ze Amazon Collage??? Nani alikwambia ukasome vyuo vya maghorofani...

Kwa experience yangu MUHAS vs Bugando naweza kusema Bugando ndo wanatoa madaktari wazuri. Watoto wa MUHAS ninaowajua wengi viande.
 
Ila Kuna wajinga wengi wamemaliza hivo vyuo vikubwa hamna kitu kichwani mimi kaka yangu kamaliza university of oslo huko norway na hamna kitu namshinda hata mimi niliomaliza bongo hapa...huwa namsaidia kazi za ofisini kwake....ukubwa wa chuo sio elimu wajuba.
 
Siku ukiwa mwajiri unaweza kuwaelewa kidogo wasiotaka kuajiri wahitimu wa vyuo fulani fulani.

Hakuna point yotote, chuo ni daraja tu, mwanafunzi mwenyewe ndio anaamua awe nani na aende wapi, it all depends on the individual..
Tunaofanya kazi na mashirika ya kimataifa tunaelewa jinsi watu wa huko duniani hawana mpango, na wala hawavijui hata hivyo vyuo vyetu.
Your attitude, soft skills (namna utakavyojieleza kwenye interview), and of course experience vitakupa ajira kabla hata ya academic qualifications. Kitu muhimu zaidi ni attitude na soft skills.
 
Wengi kitu hawajui ni kuwa unachosoma chuoni ni asilimia kidogo mno (less than 10% ) kiko applicable at the workplace,
Ukiajiriwa you will learn, relearn and relearn to catch up na uwe productive. Kuna gap kubwa kati ya unachosoma darasani na workplace,
Ndio maana haina maana yotote ya chuo ulichosoma, it’s just you as individual and how you connect what you have gone through at your college na kazi unayoomba,
Nimebahatika kufanyia madogo wa chuo interview, toka vyuo vikubwa Tz,
Wengi wao hawawezi hata kurelate walichosoma na kazi wanazoomba, mbali ya kuwa Lugha ya malkia huwa ni changamoto,
Kuna haja ya Vyuo yetu kujifunza mahitaji ya soko kwa washikadau, waajiri hasa sekta binafsi ili wawaandae vijana waendane na mahitaji ya soko
 
ni kweli unalosema ,lakini vijana tutapata vipi hiyo chance ya kulearn at workplace kama wanaotakiwa ni 3-5 years of experience ?
 
Wengi kitu hawajui ni kuwa unachosoma chuoni ni asilimia kidogo mno (less than 10% ) kiko applicable at the workplace,
Ukiajiriwa you will learn, relearn and relearn to catch up na uwe productive. Kuna gap kubwa kati ya unachosoma darasani na workplace,
Ndio maana haina maana yotote ya chuo ulichosoma, it’s just you as individual and how you connect what you have gone through at your college na kazi unayoomba,
Nimebahatika kufanyia madogo wa chuo interview, toka vyuo vikubwa Tz,
Wengi wao hawawezi hata kurelate walichosoma na kazi wanazoomba, mbali ya kuwa Lugha ya malkia huwa ni changamoto,
Kuna haja ya Vyuo yetu kujifunza mahitaji ya soko kwa washikadau, waajiri hasa sekta binafsi ili wawaandae vijana waendane na mahitaji ya soko
HII IWE YA SAUTI YA JUU SANA. hata udsm usipojiweka kujifunza namna unacho Soma kinaendaje kuwa real kwenye jamii hasa social science, unawez pata GPA kubwa ambayo kazini hata nusu yake huifikii

Sent from my VTR-L29 using JamiiForums mobile app
 
Wengi kitu hawajui ni kuwa unachosoma chuoni ni asilimia kidogo mno (less than 10% ) kiko applicable at the workplace,
Ukiajiriwa you will learn, relearn and relearn to catch up na uwe productive. Kuna gap kubwa kati ya unachosoma darasani na workplace,
Ndio maana haina maana yotote ya chuo ulichosoma, it’s just you as individual and how you connect what you have gone through at your college na kazi unayoomba,
Nimebahatika kufanyia madogo wa chuo interview, toka vyuo vikubwa Tz,
Wengi wao hawawezi hata kurelate walichosoma na kazi wanazoomba, mbali ya kuwa Lugha ya malkia huwa ni changamoto,
Kuna haja ya Vyuo yetu kujifunza mahitaji ya soko kwa washikadau, waajiri hasa sekta binafsi ili wawaandae vijana waendane na mahitaji ya soko
Umenena vyema kaka,

N muda sahh wa vyuo vya bongo kuwa na urafiki wa karbu na waajiri na waajiri wasisite kutoa maoni yao nn kifanyike kuimalisha elimu unayotolewa na s kubagua tunamtaka yupi & hatumtaki yupi bila sababu za msingi
 
Ila Kuna wajinga wengi wamemaliza hivo vyuo vikubwa hamna kitu kichwani mimi kaka yangu kamaliza university of oslo huko norway na hamna kitu namshinda hata mimi niliomaliza bongo hapa...huwa namsaidia kazi za ofisini kwake....ukubwa wa chuo sio elimu wajuba.
Sikupingi ila ndio majina ya vyuo vyao yanawabeba.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom