sekhal
Member
- Jul 21, 2016
- 43
- 35
Habari zenu wanaJF
Kuna hili swala naomba kuuliza Kwann baadhi ya taasisi znabagua candidates wa kuomba kazi?
mfano unakuta post ya Kaz inasema priority n watu wa chuo fulan, au ukimfuata hr / director anakuambia siajiri chuo fulan
Hii inamaana gani ? Ni kwamba hawawaamini NACTE na TCU au wana maslahi yao binafsi?
Nazipongeza taasisi zote znazotoa ajira bila kuzingatia umetoka chuo gan bali uwezo na weledi katika interview Mungu awaongoze.
Sio wote tutasoma UDSM/SUA /MUHAS wengne tupo St John, MUM, KIUT, KCMC, Bugando, UDOM etc... kutubagua haileti picha nzuri katika taasisi yako.