Kwanini baadhi ya binadamu wengi hupinga wao ni wanyama?

Mosesrex

Member
Aug 8, 2016
93
51
Nimekutana na watu wengi sana likija suala la kua binadamu ni mnyama wengi hawataki ku admit kabisa na atakupinga kisawa sawa.

Kuna binadamu mpaka leo hawakubali kua binadamu ni mnyama .binadamu amejiona yeye ndio yeye, Mpaka kujitenga na wenzake na anaenda kuwaangalia anasema ngoja nikatalii kuwaona wanyama ,

Mnyama akiuliwa anaonekana kawaida tu na binadamu akiuliwa eti damu ya mtu haiendi bure, mnyama ni mnyama tu kubali kataa sote ni wanyama hua nacheka sana,

Mimi hua nawaambia tu ukitaka ku prove wewe ni mnyama nenda porini kwa mzee simba mla nyama, akikuacha wewe sio mnyama kweli, maana simba hula wanyama.
 
Mimi hua nawaambia tu ukitaka ku prove wewe ni mnyama nenda porini kwa mzee simba mla nyama, akikuacha wewe sio mnyama kweli, maana simba hula wanyama

Kama Simba ni mnyama iweje sasa binadamu naye awe mnyama?
 
Binadamu sio mnyama Ni kiumbe kutoka sayari nyingine, duniani hawezi kuishi Bila mwili kwa hii miili ya nyama tumepewa itusaidie tu kuishi.
Over binadamu sio mnyama🤘🤘🤘
 
Mimi hua nawaambia tu ukitaka ku prove wewe ni mnyama nenda porini kwa mzee simba mla nyama, akikuacha wewe sio mnyama kweli, maana simba hula wanyama

Kama Simba ni mnyama iweje sasa binadamu naye awe mnyama?
Kwani wewe ukiwa mTanzania, ugumu uko wapi wa mimi kuwa Mtz?
 
Nimekutana na watu wengi sana likija suala la kua binadamu ni mnyama wengi hawataki ku admit kabisa na atakupinga kisawa sawa.
Kuna binadamu mpaka leo hawakubali kua binadamu ni mnyama .binadamu amejiona yeye ndio yeye, Mpaka kujitenga na wenzake na anaenda kuwaangalia anasema ngoja nikatalii kuwaona wanyama ,
Mnyama akiuliwa anaonekana kawaida tu na binadamu akiuliwa eti damu ya mtu haiendi bure, mnyama ni mnyama tu kubali kataa sote ni wanyama hua nacheka sana,
Mimi hua nawaambia tu ukitaka ku prove wewe ni mnyama nenda porini kwa mzee simba mla nyama, akikuacha wewe sio mnyama kweli, maana simba hula wanyama.
Ukiachilia mbali baadhi ya binadamu kukataa ukweli kwamba wao ni wanyama kuna wengine hadi leo hii wanaamini kuwa kuna "watu" na "binadamu"
 
Nimekutana na watu wengi sana likija suala la kua binadamu ni mnyama wengi hawataki ku admit kabisa na atakupinga kisawa sawa.

Kuna binadamu mpaka leo hawakubali kua binadamu ni mnyama .binadamu amejiona yeye ndio yeye, Mpaka kujitenga na wenzake na anaenda kuwaangalia anasema ngoja nikatalii kuwaona wanyama ,

Mnyama akiuliwa anaonekana kawaida tu na binadamu akiuliwa eti damu ya mtu haiendi bure, mnyama ni mnyama tu kubali kataa sote ni wanyama hua nacheka sana,

Mimi hua nawaambia tu ukitaka ku prove wewe ni mnyama nenda porini kwa mzee simba mla nyama, akikuacha wewe sio mnyama kweli, maana simba hula wanyama.
Mkuu huyo anayekataa kuwa yeye siyo mnyama ni ngumbalu gani mbishi hata kwa elimu ya viumbe std IV inaeleza wazi?
Mtaje kwa jina tumthaminishe.
 
Nimekutana na watu wengi sana likija suala la kua binadamu ni mnyama wengi hawataki ku admit kabisa na atakupinga kisawa sawa.

Kuna binadamu mpaka leo hawakubali kua binadamu ni mnyama .binadamu amejiona yeye ndio yeye, Mpaka kujitenga na wenzake na anaenda kuwaangalia anasema ngoja nikatalii kuwaona wanyama ,

Mnyama akiuliwa anaonekana kawaida tu na binadamu akiuliwa eti damu ya mtu haiendi bure, mnyama ni mnyama tu kubali kataa sote ni wanyama hua nacheka sana,

Mimi hua nawaambia tu ukitaka ku prove wewe ni mnyama nenda porini kwa mzee simba mla nyama, akikuacha wewe sio mnyama kweli, maana simba hula wanyama.
inashangaza sana tunapoukataa ukweli
 
Back
Top Bottom