Kwanini baada ya kuoana tumeachana?

Surely, kuna ndugu yangu aliishi na mwanaume miaka kama kumi bila ndoa.Walikua na migogoro ya kawaida tu.Baada ya kufunga ndoa migogoro ikawa mikubwa zaidi ingawa hawajaachana.
Na hili ndilo tatizo kubwa sana
Af kwenye ile thread yako nyingine( ya kusifiwa) mbona umekataa kunielewesha.
Nimekataa wapi tena jamani?
 
Not meant to be, kama si wako hata ufanyaje hata kuwa wako
 

Saluuuuuuute!....umenifungua macho mkuu!
 
kuna mtu sikuamini kuwa naye yupo humu jf na hachangii chochote.
 
Simple like that?

Yeah brother

Unategemea makubwa toka kwa mpenzi wako kabla ya ndoa ila mkishaingia ndo mnaona ni ngumu kupata mnachotaka ndo haya yanatokea
 
nimeshudia walokaa uchumba kwa miaka kumi na tano, baada ya ndoa walikaa miaka miwili wakaachana mpaka leo!
 
Sikukuambia kuwa ni tatizo dogo au kubwa bali nimekuuliza ni kivipi hili ni tatizo?

Umeanza Kuwa Boring,

Ni Kipi Usichokielewa Hapo,
 

Attachments

  • 1402937210224.jpg
    66.5 KB · Views: 80
Umeanza Kuwa Boring,

Ni Kipi Usichokielewa Hapo,

Sijui kama utakuwa umeliona tatizo lako

Mimi nilikuuliza ndoa inakuwaje tatizo kwa sababu uliyoitoa wewe badala ya kuja na kuniambia sababu unakuja na kuniambia "ndio ni tatizo kubwa sana" wakati mimi sikuuliza tatizo ni kubwa au sio kubwa maana siwezi kuuliza ukubwa watatizo wakati sijui hata ulichokisema kinakuwaje ni tatizo

Haya baada ya kuboronga hapo unakuja na attachment ambayo inazungumzia tatizo la watu kuingia kwenye ndoa huku wakiwa na imani fulani fulani kitu ambacho wala hata sio nilichokiuliza

Hiyo attachment yako ina sehemu tu ya ninachokizungumzia hapa lakini sio kwa ujumla wake

Hata nimesema kabisa kuwa tatizo la watu kuishi pamoja kwa muda mrefu halafu wakishaoana tu wanaachana ni nini wewe hata sijui kama umesoma maana sijaona hata mahali ambapo umejibu

Sijui nani ambae anaboa hapa ....!!
 

Wewe...Majibu Yako Kwenye Comments Za Wachangiaji Yanabore Sana,
You Just Don't Know Your Weakness.
 
Wewe...Majibu Yako Kwenye Comments Za Wachangiaji Yanabore Sana,
You Just Don't Know Your Weakness.

Usijiweke kwenye viatu vya watu wengine
Hao ambao comments zangi zinawa bore mbona hawasemi?

Au kwakuwa wewe unakitazama kila kitu ni kichungu kwakuwa hisia zako zimejaa uchungu unadhani kila mtu yupo kama wewe?

Nina udhaifu kwakuwa mimi ni binadamu kama wengine lakini kuna binadanu wengine wana vurugu sana vichwani mwao na mmoja wao ni wewe

Mtu akikuhoji tayari anakuwa ana bore,yaani wewe unataka kila mtu akujimbu ndio ....

Sorry,hapa huipati hiyo,hiyo utaipata kwa mumeo tu kama nae ataamua kuwa bogasi kama wewe

Answer my question kama huwezi nenda kalale angalau utaupa mwili wako faida kuliko kukaa hapa na kutaka kila mtu ahisi kiajabu ajabu kama unavyohisi wewe!
 
mhh, mnatutisha kwa sisi tunaotarajia kuingia hivi karibuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…