Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 25,977
- 25,300
Kabisa Mkuu ivunjweee....OAU hiii ndo ilikuwa ACTIVEHivi AU ina msaada gani kwa nchi za Afrika, zaidi ya "kutapanya" fedha za Afrika?
Ina msaada gani?
Ikivunjwa kuna hasara yo yote?
Kabisa Mkuu ivunjweee....OAU hiii ndo ilikuwa ACTIVEHivi AU ina msaada gani kwa nchi za Afrika, zaidi ya "kutapanya" fedha za Afrika?
Ina msaada gani?
Ikivunjwa kuna hasara yo yote?
Umeenda mbali sana, anza na hii EAC, muungano gani nchi wanachama wanapigana? Rwanda & DRC.Hivi AU ina msaada gani kwa nchi za Afrika, zaidi ya "kutapanya" fedha za Afrika?
Ina msaada gani?
Ikivunjwa kuna hasara yo yote?