Kwanini ATCL wamejiondoa Mbeya?

Kwanini ATCL wamejiondoa Mbeya?

Mbeya hakuna uwanja. Uwanja upo Songwe

Wacha uwongo, Mbeya haijawahi kuwa na airport. Unataka ndege kubwa kama bombadier itue Mwanjelwa? Uwanja wa ndege upo Songwe, mkoa jirani na Mbeya.
Masahihisho Uwanja wa ndege (Songwe Airport) uko mbeya eneo linaitwa Usongwe sio mkoa wa Songwe

Na huu ulianzishwa baada ya kufunga ile Airport ya zamani juu ya Block T/Isengo alipokufa Akukweti
Mkoa wa Songwe hakuna uwanja wa ndege
 
Nimekuelewa chifu. Basi ungesema ATCL qameondoa route ya Songwe airport tungekuelewa kirahisi
 
Nimekuelewa chifu. Basi ungesema ATCL qameondoa route ya Songwe airport tungekuelewa kirahisi
Hahahaaa mie sio mtoa mada mkuu. Nilirekebisha tu hapo watu huwa wanachanganya eneo la Songwe ndani ya mbeya na mkoa wa Songwe
 
Hahahaaa mie sio mtoa mada mkuu. Nilirekebisha tu hapo watu huwa wanachanganya eneo la Songwe ndani ya mbeya na mkoa wa Songwe
Hahahahahah ....poa chifu! K vant imeshuka bei, siyo rahisi kujua who is who kwenye thread. Mshana Jr ni shahidi kuwa SSH katupunguzia mzigo wa makato kupitia vileo.
 
ATCL kuendelea kwenda chato ni upuuzi mtupu kwani ndege zinaenda tupu kabisa. Hasara ni kubwa sana.
Weka picha zikiwa zinaenda tupu na kurudi tupu.
 
Nyie ndio aina ya watu ambao mnavunja hadi ndoa za watu kwa kuongea uongo.

Umetazama wapi ukakuta hakuna ndege.....?!

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Wanabodi nimeangalia kwenye booking option ya ATCL nimeona hakuna uwanja wa Mbeya na bada ya kuliza nikaambia labda atcl inapunguza safari kutokana na kuwa na upungu wa ndege.je hii ni kweli?
shida ni kiwanja kibovu,.. midege imejaa tele na mingine inakuja soon
 
Ameuliza pumba zake halafu kasepa hata kurudi kushukuru watu wamemuelekeza. Majitu yaliyozoea kupanda magari ya magazeti ni shida sana.
 
Wacha uwongo, Mbeya haijawahi kuwa na airport. Unataka ndege kubwa kama bombadier itue Mwanjelwa? Uwanja wa ndege upo Songwe, mkoa jirani na Mbeya.
Sio mkoa wa songwe bwana ni eneo linaitwa songwe and mkoa wa mbeya na songwe umetenganishwa na MTO songwe ambao upo mbele zaidi karibia na senjele so uwanja unapatikana mkoani mbeya bado
 
Sio mkoa wa songwe bwana ni eneo linaitwa songwe and mkoa wa mbeya na songwe umetenganishwa na MTO songwe ambao upo mbele zaidi karibia na senjele so uwanja unapatikana mkoani mbeya bado
Nikajuaga uwanja upo Mbozi bana, kumbe wametupiga chenga. Mm Mbeya mjini nimeendaga once, siyo mwenye kabsaaa! Katika hiyo trip moja Nasoma nilifikaga🤓
 
Back
Top Bottom