Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,785
- 20,061
- Thread starter
-
- #21
Matamanio tu dada/kaka angu.... Katika hili wanaume wengi ni wahanga... Ushauri mkubwa naohitaji kwa nini sasa ... !!??kwa nini hakuniambia tangu mimba changa....!!??Wee nzi mtoto vipi, ulivokua unapanda mbegu ulihisi imeangukia kwenye mchanga hivo haitomea eeh, hongera ulipanda kwenye rutuba.mavuno hayoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hapo huenda aliogopa kukwambia mapema akihofia ungemshawishi either kutoa na yeye hakua tayari Kwa dhambi hiyo. Ila pia kwanini asikwambie hata kidogo naye duuh, au ulimkatia mawasiliano angekwambiaje?Matamanio tu dada/kaka angu.... Katika hili wanaume wengi ni wahanga... Ushauri mkubwa naohitaji kwa nini sasa ... !!??kwa nini hakuniambia tangu mimba changa....!!??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nadhani hakukwambia sababu aliona haupo tayari kulibeba hilo jukumu na heshima ya yeye kuwa kabeba bao lako ndio maana kakutafuta ulipe jina kbs hilo bao...Mungu ampe maisha mazuri huyo binti.
Mimi wiki mbili zilizopita nimeanza kupewa taarifa kuna sehem kuna binti kanidhulumu bao langu nimeshafuatilia vya kutosha next week nataka nisafiri mpk huko bila yeye kujua nikamuhoji vzr
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulikojoa hukukojoa????Hapo ndio pagumu zaidi ... Mke na watoto wawili... Sasa huyu akiingia kati ni mgogoro bora angepatikana kabla ya hawa wengine ... Naaminije ni wangu iwapo tangu mimba kliniki mpaka anakaribia kujifungua ndio anifuate
Ulikojoa hukukojoa????
Sijawahi kumkatia mawasiliano... Majukukumu..tu ....anapiga tunaongea.... Ana magumu namtumia kipato.... Amekuja akasema kila hela uliyonitumia kiasi natunza kwa ajili yaa uzazi... Nahitaji tu mtoto apewe jina gani na majina yako... DaaahYaani hapo huenda aliogopa kukwambia mapema akihofia ungemshawishi either kutoa na yeye hakua tayari Kwa dhambi hiyo. Ila pia kwanini asikwambie hata kidogo naye duuh, au ulimkatia mawasiliano angekwambiaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkubwa ....mimi ni mchangiaji mzuri tu..kuna kipindi nazingua na nini ... Limenikuta ndugu..tafadhali... Jaribu kuwa siriaz... Angalia mada na michango yangu... Jf kuna wafukua makabuli wengi.... Sijafurahishwa na jibu lako mkuu...Ulikojoa hukukojoa????
Eti mume wa mtu.Mkubwa ....mimi ni mchangiaji mzuri tu..kuna kipindi nazingua na nini ... Limenikuta ndugu..tafadhali... Jaribu kuwa siriaz... Angalia mada na michango yangu... Jf kuna wafukua makabuli wengi.... Sijafurahishwa na jibu lako mkuu...
Aahhhhhh nishakujua we baba. Masikini namuonea huruma mama nanii, halafu hata hufananii na matendo uliyomfanyia mkeoMalezi sio tatizo kwa sababu mpaka sasa kuna watoto wanne nawasomesha lakini sio wanangu wa kuzaa...Waliomba msaada kanisani nikawachukua mmoja yupo fomr V wawili form II mmoja la saba... Kulea sio tatizo hata kidogo....
Hahahahamkuu huyu ni wa3 .... Sitoi upepo
Mbona unanitemea mate tena ndugu...daaah .... Bsi sawa .... Kama unaona sifai kuwa mme wa mtu ni heri ukapita vile .... Sio madharau za kiivyo .... Barikiwa sana ...Eti mume wa mtu.
Ptuuuuu!
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Itakuwa alitelekeza shamba,sasa anashangaa shamba alikuwa haliudumii lakini mavuno yapo.Umelima shamba umepanda mavuno yanakaribia unashangaa?
Ajabu nayo!