Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,785
- 20,061
Hapo ndio pagumu zaidi ... Mke na watoto wawili... Sasa huyu akiingia kati ni mgogoro bora angepatikana kabla ya hawa wengine ... Naaminije ni wangu iwapo tangu mimba kliniki mpaka anakaribia kujifungua ndio anifuatehuna jinsi baba mtarajiwa ukipanda mbegu kumbuka itaota na kukupatia matunda ndiyo hayo jina ni kitu kimoja bado chakulea halafu ukute unamke ulichepuka
utalea watoto si wako yaani muda mrefu hivyo hapo ujue aliyempa mimba kaikataaHapo ndio pagumu zaidi ... Mke na watoto wawili... Sasa huyu akiingia kati ni mgogoro bora angepatikana kabla ya hawa wengine ... Naaminije ni wangu iwapo tangu mimba kliniki mpaka anakaribia kujifungua ndio anifuate
Malezi sio tatizo kwa sababu mpaka sasa kuna watoto wanne nawasomesha lakini sio wanangu wa kuzaa...Waliomba msaada kanisani nikawachukua mmoja yupo fomr V wawili form II mmoja la saba... Kulea sio tatizo hata kidogo....utalea watoto si wako yaani muda mrefu hivyo hapo ujue aliyempa mimba kaikataa
Lakini hata ukipanda kuna muda wa kuchepua kumwagilia kunyunyuzia dawa.... Inakuwaje uletewe tu mavunoUmelima shamba umepanda mavuno yanakaribia unashangaa?
Ajabu nayo!
Labda ulitelekeza shamba ukasaidiwa na wakulima wenzako kupalilia na kumwagilia!Lakini hata ukipanda kuna muda wa kuchepua kumwagilia kunyunyuzia dawa.... Inakuwaje uletewe tu mavuno
Vilimo vingine vya mihogo babaLakini hata ukipanda kuna muda wa kuchepua kumwagilia kunyunyuzia dawa.... Inakuwaje uletewe tu mavuno
mkuu huyu ni wa3 .... Sitoi upepoYaani Mtoto wa nzi nae kapata mtoto!?kweli vituko duniani haviishi
safi sanaNadhani hakukwambia sababu aliona haupo tayari kulibeba hilo jukumu na heshima ya yeye kuwa kabeba bao lako ndio maana kakutafuta ulipe jina kbs hilo bao...Mungu ampe maisha mazuri huyo binti.
Mimi wiki mbili zilizopita nimeanza kupewa taarifa kuna sehem kuna binti kanidhulumu bao langu nimeshafuatilia vya kutosha next week nataka nisafiri mpk huko bila yeye kujua nikamuhoji vzr
Sent using Jamii Forums mobile app
Kinachonishangaza mkuu.... Iweje na mimba namba anayo tunaongea ni mbali ...lakini nasimamia ushirika hata ukangalia posts zangu na comments utaona.... Na ukanda wa pamba ni mkubwa sana ... Lakini makao makuu shinyanga werevu mtakuwa mmejua .... Binti nimemkuta Mwamabanza huko mpakani mwa magu ... Nimeishi hapo wiki ... Namba anazo tunawasiliana pesa namtumia lakini hakuwahi kunianbia kuhusu mimba .... Mara paaaap huyu .... Anataka majina yangu kwa ajili ya cheti cha kuzaliwa ... Na majina ya mtoto.. Lakini nikicheki muda ni sahihi kabisa... Kadi ya kliniki kaniandika jina lakini kakosea kidogo.... Anataka nimpe majina ya nyumbani ya asili ..... Changamoto jamani ....safi sana