Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,944
- 51,082
"Silaha kama hizi" haimaniishi "Silaha hizi"Mimi hapo nawaona wapo porini wanasaka majangiri ndiyo maana wameshika kiona mbali(darubini), hakuna raia hapo
Majambazi wa siku hizi wanatumia Silaha za kivita na sio rahisi kuweza kujua kama kati ya hawa raia kuna Silaha ya hatari"Silaha kama hizi" haimaniishi "Silaha hizi"
Mbona kwenye michezo pia huwa wanakuwa nazo!?Majambazi wa siku hizi wanatumia Silaha za kivita na sio rahisi kuweza kujua kama kati ya hawa raia kuna Silaha ya hatari
Angalia vzr, wamebeba magazine mbili mbili... Kikawaida moja ndio inawekwa kwenye bunduki hiyo nyingine wameifunga(kuziweka pamoja) in case ya kwanza ikiisha unapachua na kupachika nyingine,Magazine zenyewe wamefunga na mpira ,hatari tupu tu
Ni sawa mkuu hakuna vitu vya kufungia mpaka iwe mipira ya manati ??Angalia vzr, wamebeba magazine mbili mbili... Kikawaida moja ndio inawekwa kwenye bunduki hiyo nyingine wameifunga(kuziweka pamoja) in case ya kwanza ikiisha unapachua na kupachika nyingine,
Huko Liberia na Rwanda mpaka mapanga yaliyopotumika unajua ni kwa kiasi gani bunduki na Askari walikwishatumika?Hata panga hutumiwa kama siraha ya kivita mf Rwanda na Liberia
hatamie nashangaa raia wako wapi?Mimi hapo nawaona wapo porini wanasaka majangiri ndiyo maana wameshika kiona mbali(darubini), hakuna raia hapo
Mkuu mtutu hauzoeleki,Hili swali kila siku huwa najiuliza....
kuna watu hawaoni athari zake
lakini moja ya athari zake ni jamii kuzoea silaha kubwa zikiwa wazi ovyo ovyo
Hakuna unachokijua mkuu, ila ndiyo hivyo kwa vile tumeumbwa kukosoa tuendelee kukosoa hata taaluma tusiyoijua.Magazine zenyewe wamefunga na mpira ,hatari tupu tu