Kwanini Argentina hakuna watu weusi?

Hii inabidi iwe jibu la kwanza kabisa katika uzi huu, naomba fungulia uzi huu ujumbe kwa wale mahaba niuwe wa bendera fuata upepo wa MISS PENATI na mbeleko FC/Argentina [emoji134][emoji143]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Nauliza tu taifa hilo why halina watu weusi wakati mataifa jirani yao wamejaa tele.
Soma genetics Kuna Dominant Gene na Recessive Gene.

Watu weupe Wana Dominant Gene ,yaani mweusi ukizaa na mweupe mtoto atakuwa mweupe(mzungu).Hivyo weusi walipotea kwa mtindo huo.

Kuna jamaa yangu(mwanaume) kaoa mzungu watoto wote ni weupe wamerithi mpaka nyele kwa mama yao.Hata Wana wake weusi walio zaana wazungu watoto wamerithi kwa baba.
 
wanawake wepesi wa ngozi waliwalazimisha kulala na wanaume weupe, ili watoto wao wawe na rangi mbili, kisha wakawalazimisha watoto walipokuwa wakubwa kulala na wanaume weupe, ili weusi wa ngozi ya watoto ukazidi kuwa weupe. mpaka hakuonekana tena.
Hiki ndicho nimejaribu kueleza kwenye post #24.kuna dominant na Recessive gene.nenda Google ujisomee Sina muda wa kuandika Sana.
 
Mkuu nimetumbuka nyongo kwa hidtoria hii 🤭🙆
 
Wewe utakuwa mpumbavu wa kiwango cha lami, Alterta kocha was arsenal anabaguliwa kama mweusi Spain enzi anacheza wewe ukiangalia sura ukiona mweupe unahitimisha ni mzungu.
 
Hapana kakamkubwa Soma genetics.kuna Dominant Gene na Recessive Gene.
Soma post #24
Hiyo Dominant Gene ipo Argentina 🇦🇷 tu katika nchi zote za bara la Marekani Kusini? Fund man naomba jawabu lako
 
Anyway, umeulizwa; mbona taifa stars, Ghana, Senegal, Cameroon, n.k hazina wazungu au rangi tofauti? Huko kwao hawapo?
Ndio maana nikasema wewe ni mpumbavu...
Wazungu hawajawahi kulowea Ghana, Senegal, Cameroon wala Tanzania.
Mtoa mada kauliza Argentina kwa sababu walichukuliwa watumwa huko argentina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…