Ukanda huo wote kuanzia Temeke,mbagala na kuendelea huko chini vikindu,kisemvule mpaka huko mkuranga wamejaa waswahili hata Uuzaji wa viwanja ndo ule wa Futi (40ft×50ft) Viwanja vingi vya Mbagala havijapimwa ...wauzaji wanafanya makadirio tuu Unauziwa bila kujali uelekeo ndo maana unakutana na nyumba zimekaa hovyo hovyo
Haya yote yamewafanya watu wengi kuwa discouraged
Lakini ukanda huo ni mzuri sana kwa viwanja vya biashara (viwanja vinavyotazamana na barabara kuu)
Sent using Jamii Forums mobile app
Civilization wako zero?Hapa ndipo pointi ilipo kuhusu Mbagala
Unakuta wengine hapo Mbagala wana pesa hasa na elimu.kubwa tu lakini civilization wako zero
Unaona sasa? kumbe hujawahi tembea mbagala na ndio maana unashangaa sababu mmekaririshwa mbagala ni uswahilini, na sio wewe tu ni wote waliocomment humu. sijui mnatokea wapi aisee!Kuna eneo lipo nilipita juzi juzi... Aisee ni moto wa kuotea kwa mbaaali... Kuna mijengo km sio mbagala dadek.
Mbweni inasubiri
Najua wanetu wa wilaya ya Temeke mtatokwa na povu lakini huo ndo ukweliUlitaka ijae mizungu au miarabu?
Uswahili ni laana?
Wewe sio mswahili?
Goba, Mbweni hawapo waswahili?
Ukweli upi?Najua wanetu wa wilaya ya Temeke mtatokwa na povu lakini huo ndo ukweli
Hauwezi kufananisha thamani ya ardhi ya wilaya ya Temeke na KinondoniUkweli upi?
Vitu pekee ambavyo Waarabu waliwafundisha na mkaelewa kikamilifu ni KUCHAMBA.Nimetukana vp tena hapo kiongozi?!!!!😳😳
Today, for me, isn't a good day to deal with a fool!!Vitu pekee ambavyo Waarabu waliwafundisha na mkaelewa kikamilifu ni KUCHAMBA.
Aisee, kila Muislamu anajivunia hilo.
Si kweli mzunguko wa pesa ni mkubwa sana 24hrs watu hawalaliSababu kubwa ni mzunguko mdogo wa pesa na usalama....
Zunguka kote hupati sahani ya wali kwa 500mpaka leo hii unapata sahani ya wali kwa 500.......
Nimekaa mbagala miaka 10 sijawahi kusikia kesi ya kuvunjiana milangoMambo ya kuvunjiana milango ni vitu vya kawaida sana kule.......
Kule vijana wengi ni wakabaji pindi jua linapozama.......kule ukipata break down ni Bora ukimbie kuliko kubakia hapo........
Nitajie unyama uliowahi kufanyika mbagala halafu ulinganishe unyama unaofanya kila kukicha mikoani kwenu musoma,mwanza na shinyangaumaskini umewafanya watu kule kuwa wanyama......
Nani kasema? Mbagala sio kwamba Ina waislam tu. Waislam ni wengi. Na ukikagua uislam wenyew ni risk factor. Hata huko goba na mbezi au arusha waislam Wana Hali mbaya zaidi kufananisha na wenzetu. Unadhani ni mipango ya mungu?Lakini mbona elimu ya dini inatolewa kwa wingi Mbagala?
Mwarabu ameshakunyonya nyuma. Akili hunaToday, for me, isn't a good day to deal with a fool!!
Yaani ukiangalia lifestyle yenu watu wa Mbagala sometimes unaweza kusema kama mnaigiza lakini ndo maisha yanaenda hivyoKiufupi naomba niseme huku serikali ilikusahau sana.ndio ikapelekea kuwa hivi tofauti na sehemu nyingine ,huku wamachinga wana dharau za hali ya juu mno kiasi cha kupanga mikokoteni ya machungwa tikiti barabaran au nguo barababan wakati gari zinapita ,refer hapo mbagala rangi tatu pita muda wowote utaona hiyo hali,kiugupi watu wengi akili yao ni ya leo yao tu kesho hawaijui, unauziwa kiwanja ujenge unaambiwa njia ipo ,mwisho wa siku mwenzako na yeye anauziwa jiran mnakosa pakupita,kuna jiran yetu hapa katangaza viwanja milion 6 ni mpare huu unakatika mwaka hata mtu kuja kuuliza hakuna.na huyu hatouza kamwe mana hakuna mipango miji kila mtu anajenga anavyotaka
Mtu anajenga hana raman fundi ndio anamchora chini kupata ramani,hiyo sehemu itaendelea lini? Ila kwa sasa huku mbagala na viunga vyake watu ninwengi mno na wanazaliana sio mchezo ni rahisi kukuta darasa moja lina wanafunzi 400 shule ya msingi,yan huku ni vituko mwanzao mwisho sijui viongozi wa huku wanafanya makusudi ,miaka nenda rudi shule zile zile watu wanaongezeka,kwa nini kuwe na thamani wakati viongozi wa huku ni vichwa maji.?
Umeambiwa na Nani? Mm mbagala nipo kila siku na hayo mm siku Tani nayo mkuuSababu kubwa ni mzunguko mdogo wa pesa na usalama..... mpaka leo hii unapata sahani ya wali kwa 500.......
Mambo ya kuvunjiana milango ni vitu vya kawaida sana kule.......
Kule vijana wengi ni wakabaji pindi jua linapozama.......kule ukipata break down ni Bora ukimbie kuliko kubakia hapo........ umaskini umewafanya watu kule kuwa wanyama......
Halafu iko hivi mtu ambaye amezaliwa na kukulia wilaya ya Kinondoni au ambaye ameishi wilaya ya Kinondoni kwa muda fulani ni ngumu sana kufikiria anunue eneo ajenge na kuishi wilaya ya TemekeGoba pa kishua Sana aisee ni eneo flani hv uzungu mwingi , hakuna uswahili kule hata chembe , alaf kila mtu na time zake yaan , mpak unakutana na mbezi beach full kipupwe, sasa huko sjui mbagala , yaan Temeke yote pa kisenge mno, sishawishi mtu kwenda kule , huko ndo HQ ya panya road, ndo sehemu yenye joto Kali DSM nzima
Hivi unajua mbagala Ina kata ngapi? Unajua maji matitu, kijichi na mgeninani ni kata ipi?Acha pumpupampa ile ni Mbagala kijichi, sisi wa mtoni tulishawakataa