Nipe sababu tatu, kwa nini inabebwa na kijichi?
Wakati eneo la kuanzia kizuiani mpaka Torori ndilo lenye shughuli nyingi za kiuchumi?
Vikunai unaifahamu?
Mgeni nani?
Maji matitu? Nayo ipo hovyo.
N.B Mbagala Misheni, Mbagala Mwanamtoti pia ni sehemu ya kijichi ikiwa kijichi ni sehemu ya kata kwenye Tarafa ya Mbagala
Mgeni nani na vikunai napajua sana ipo karibu na mbagala kuu tena kuna hoda la kutokea tuangoma ila huko siwezi kuishiNipe sababu tatu, kwa nini inabebwa na kijichi?
Wakati eneo la kuanzia kizuiani mpaka Torori ndilo lenye shughuli nyingi za kiuchumi?
Vikunai unaifahamu?
Mgeni nani?
Maji matitu? Nayo ipo hovyo.
N.B Mbagala Misheni, Mbagala Mwanamtoti pia ni sehemu ya kijichi ikiwa kijichi ni sehemu ya kata kwenye Tarafa ya Mbagala
Mimi ni chotara wa makabila yote mawiliMkuu mimi naongelea kabila langu tu. Hao wengine siwezi kuwajua na sijui utamaduni wao kiundani.
Mtu anayeongelea kitu asichokijua na bila ya uhakika ni mjinga asiyejitambua.
Dar ndio kwenu wapi?Njia ya kwetu unaijua,?usinipangie mi sina kwetu zaidi ya Dar
Sasa hayo maeneo ni sehemu mbaya ya kuidharauMgeni nani na vikunai napajua sana ipo karibu na mbagala kuu tena kuna hoda la kutokea tuangoma ila huko siwezi kuishi
Jobless. Tunawajua nyiny sio wapya humu. Kama mpaka elfu kumi bado kwako ni hela kubwa kias hikoAisee nimecheka kinyama nusu nianguke hapa nijimwagie hii juice. Seriously?
All in all uko mzima ni wafanya biashara kuanzia babu mpaka wajukuu na wengine wapo kwenye ajira serikalini, wengi tumesoma masomo ya biashara na ni wasomi haswa. ndugu wengine walienda marekani miaka hiyo.
Babu yangu alikuwa mfanya biashara mkubwa miaka ya 50s na kuendela alinunua eneo kubwa la mbagala miaka hiyo na ni ndugu yake na Ali Mohamed Shein former president of Zanzibar.
Nikiendelea utagundua ukoo wetu.
Trust me kama ungekuwa wa kike basi ningekutumia 50 sasa hivi, lakini kutumiana pesa burebure vidume vizima ni ufala.
Vipi ule mzigo wako wa MAGARI China ushaupokea hapo bandari?Aisee nimecheka kinyama nusu nianguke hapa nijimwagie hii juice. Seriously?
All in all uko mzima ni wafanya biashara kuanzia babu mpaka wajukuu na wengine wapo kwenye ajira serikalini, wengi tumesoma masomo ya biashara na ni wasomi haswa. ndugu wengine walienda marekani miaka hiyo.
Babu yangu alikuwa mfanya biashara mkubwa miaka ya 50s na kuendela alinunua eneo kubwa la mbagala miaka hiyo na ni ndugu yake na Ali Mohamed Shein former president of Zanzibar.
Nikiendelea utagundua ukoo wetu.
Trust me kama ungekuwa wa kike basi ningekutumia 50 sasa hivi, lakini kutumiana pesa burebure vidume vizima ni ufala.
Hii mipasho yote ya nini..wazaramo mnamambo ya kike sana.Oi! unavyosema hawa watu unakuwa unaongelea kina nani? Wazaramo? Yaani unavyoandika utadhani ni some primitive endangered species.
Hizi habari za wazaramo kucheza ngoma kila jumapili mnazitoa wapi aisee? Mimi ni mzaramo na sijawahi kufika ngomani na wala sijawahi sikia kuhusu habari za ngoma.
Eti hawa watu wa kusaidiwa sio kutengwa? what? kwa mfano wewe unaweza kunisaidia nini mimi?
Wtf are you talking about? Trust me hatujuani lakini kuna asilimia 90% nimekuzidi kimaendeleo mimi kama mimi achana na familia yangu.
Watu wabara mnafurahisha sana. The bloated immensity of the Dunning-Kruger effect is unquantifiable.
na kweli. Lakini zamani ukinunua wanakimbia, na kweli niliponunua waliniomba niwanune wanipishe. Nikafanya hivyo kwa baadhi. Lakini mh! badoSan wee unaendaje kuishi na wamakonde wamakonde wote wako hapo unategemea nn
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mkuu mm mzaramo lakini Kwa huyu jamaa nimekubali. Uzaramo na Shein wapi n wapi? Bora angesema mwinyi ningemsikiliza kunguni huyuHii mipasho yote ya nini..wazaramo mnamambo ya kike sana.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Mkuu kwa mdukuz Hapo mtasumbuana tu. Huyu mwenzio YEYE hapaelewi hata ufanyeje huwez kumbadilisha mawazoSasa hayo maeneo ni sehemu mbaya ya kuidharau
Hatimae mdini kaingilia kati, kama Dini husababisha maendeleo ya kipato vipi akina Mo Dewji, Bhaharesa, GSM na wengine.Anachojaribu kueleza ni kuwa maeneo mengi yenye waislamu wengi hayana maendeleo mfano miji ya zamani kama Pangani,Ujiji,Bagamoyo ,Kilwa nk ilitakiwa yawe majiji tena makubwa kuliko Dar,Arusha au Dodoma,au Mbeya,Kahama ,Mwanza nk
Lakini wakazi wake wengi waislamu sijajua shida nini wanasomeshana Alubadiri ili wasifanye maendeleo binafsi makubwa au ni nini? Sababu wengine unakuta pesa wanazo kibao na wasomi sana tu na pesa wanazo lakini hata nyumba tu wanazoishi haziakisi uwezo wa pesa walizonazo!! Tofauti na watu wa dini zingine kama wahindu ,Wakristo na wabudha au wakinga wasio na dini waabudu mizimu .Nyumba za waislamu wengi za kawaida mno !! Pesa wanapeleka wapi?
Dar ina wenyewe,wenyewe ndio sisiDar ndio kwenu wapi?
Nenda kaendeleze mkoa uliotoka.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Kuna machinga wengi.Miaka nenda miaka rudi, ardhi ya Mbagala imekuwa haina thamani pamoja na kuwa na watu wengi. Nenda Goba, kivumbi, miji ya juzi. Mbagala ya zamani haina hadhi mpaka leo. kwanini?
Mimi siwezi kumtumia pesa mtu nisiyemjua na kureveal identity yangu plus wanaume wazima kutumiana pesa burebure ni upumbavu. Wewe hauni tatizo lako hapo?Jobless. Tunawajua nyiny sio wapya humu. Kama mpaka elfu kumi bado kwako ni hela kubwa kias hiko
Ila ukienda huko mikoani kwao, ukisema tu mimi mzaramo, basi Dada zao, chupi haziwakai mwilini.Mimi ni chotara wa makabila yote mawili
Uzaramo upo na undengereko upo.
Nadhani hakuna tofauti ya tamaduni kati ya mzaramo wa Mkuranga, Kisarawe na Kibaha.
Hata Mimi nimetoka Kijiji kimoja na Raisi wa Zanzibar wa Sasa.
Ila Mndengereko na Mzaramo tamaduni Yao ni Moja, Hulka Moja na sifa ni zile zile ila sipendi namna wanavyopenda kuwadunisha.
Tembea Tanzania hakuna sehemu utafika kabila mwenyeji lisizalaulike.
Nenda Tabora mjini mpaka kule Mpandamlowoka Kaliua utagundua wenyeji wanyamwezi wanadhalaurika na Kuonekana wavivu na washirikina.
Nenda Simiyu kule wanyantuzu wanadharaulika na wageni
Nenda mbeya mjini au kule mbalizi Msafwa na Mmalila wanadharaulika mno.
Nini maana yake?
Hawa wakuja huja na mitaji, connection na elimu hivyo huwa kwenye Hali njema ya kiuchumi.
Hayo maeneo nimetembelea na kupokelewa na waukae na wote wapo Vizuri kiuchumi na kudis wenyeji.
Reply yangu Mimi siku zote ni kutabasamu
Hivi unajua maana ya argumentative, expletive and rhetorical writing? Mimi ni author hivyo najua pyschology ya msomaji. Ushawahi kuona black americans wanavyoongea? je huwa wanapasha au wanafoka?Hii mipasho yote ya nini..wazaramo mnamambo ya kike sana.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hii ni kweli kabisa inashangaza mnoMiaka nenda miaka rudi, ardhi ya Mbagala imekuwa haina thamani pamoja na kuwa na watu wengi. Nenda Goba, kivumbi, miji ya juzi. Mbagala ya zamani haina hadhi mpaka leo. kwanini?
Huna hiyo hela weweee... Usitafute Nn. Wala Nn. Hizi nyingine hadithi tu humu jf mkuu usijmwambafai Sana ukajua kweli. Wenye hela wapo ila hawajitangazi, wengi tunawajua humu tunachekaga tu. Wew unayoyajua kausha tu. Mm mwenyew mzaramo wa Mkamba hapa naongea ukweli ninaoujuaMimi siwezi kumtumia pesa mtu nisiyemjua na kureveal identity yangu plus wanaume wazima kutumiana pesa burebure ni upumbavu. Wewe hauni tatizo lako hapo?