Kwanini anarudi nyuma? Why men pull away in relationship

Angekuweka kwenye chupa kama wabongo walivyowekwa kwenye chupa na ccm
 
How she treat me with caring,Loyalty,Respect and Appreciation
Haya yote kuna mafundi wa kuyafanya ... Ila huwa wanayafanya kwa maagizo tu ili waweze ku-win your heart
 
Hahaha watu wabaya
 
Indeed
 
Zile mbwembwe za
bby bby
I love youuuu nyingi nyingi
I miss you my love

Zitakatika baada ya muda si mrefu.

Ukiwa usikii tena hizo kauli ujue maigizo yamefika kikomo
Hahaha
 
Hahaha
 
What ...lol
 
Kweli kabisa
 
Mtu anatabia sio au mwenendo sio, unamkalisha chini kumuelekeza aachane nao yeye anakuonyesha kuwa mimi ndio nilivyo hivi yaani sipangiwi. Hapo hapo huwa naona redflag....... Napull away kama pweza.......

Raha ya mwanamke ni utii. Ukimwambia jambo anarespond kwa utii na uelewa. Hapo lazima ujione kidume mwenye mamlaka hapa duniani na yeye ndie malkia wako......

One time kuna binti alikuwa na tabia za kuweka whatsapp last seen inakuwa off. Nikamwambia why anaficha last seen status, akanijibu "basi tu sipendi ionekane". Katika maongezi ili kujuana ana nambia mimi sinaga marafiki wa kike mostly ni boys ndio rafiki zangu.
Nikamwambia why sasa mbona kama hajakaa sawa hiyo, anajibu, "Mimi ndio nilivyo hivyo na siwezi badilika". Nikajisemea kimoyomoyo, ona jinga moja hili. Me naliset liwe kwenye mstari mzuri lenyewe linaanza kuleta bange zake.......

Nikamuepuka kama ukoma ...,..
 
Sababu haziwezi fanana.
Mm kwangu dharau na nyodo zinatosha kujiengua kwenye mahusiano
 
Umeongea vizuri.Funga kazi ni kucheat.Fanya yote ila mwanaume ukijua mwanamke wako amegawa kwa kidume mwingine maumivu yake ni makubwa na hayavumiliki.
 
Alifutuka kwa kasi ya 4G na kuwa kibonge, kiukweli ule mwili haukumpendeza nilijitahidi kumpenda kama mwanzoni ikashindikana nkaona ntakuja kumtesa tu huyu huko mbeleni.. nkaachana nae.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…