Na Push away je ?
Bora huyo wa kwako.Unakuta vizinga vingiiiii au anataka kuolewa mapema na wewe hujajipanga. Kuna mdada niliachana nae baada ya kunambia yeye anataka nimuoe after 4 yrs,wakati Mimi after hiyo miaka nitakuwa nakaribia age ya Z. Z. K.
Hilo lako mkuu😂😂Na Push away je ?
Na ww ndan ya wiki ulijuaje ni perfect?Bora huyo wa kwako.
Wa kwangu wiki ya kwanza kwenye mahusiano anataka kwenda kutoa ushuhuda kanisan eti kapata mume bora. Nilimuacha kwa kasi ya 4G. She was more than just a perfect, tatzo ni kiherehere cha ndoa.
Tulikuwa tunafahamiana before ila sikumzingatia kivile sababu ya nature ya kazi zetu, tupo kwenye mahusiano ndo nagundua mwenzangu yuko desperate na ndoaNa ww ndan ya wiki ulijuaje ni perfect?
Labda hampendi toka moyoni..!
Bora huyo wa kwako.
Wa kwangu wiki ya kwanza kwenye mahusiano anataka kwenda kutoa ushuhuda kanisan eti kapata mume bora. Nilimuacha kwa kasi ya 4G. She was more than just a perfect, tatzo ni kiherehere cha ndoa.
Mapenzi ya siku hizi yana maigizo mengi sana.Utajuaje mtu anapenda toka moyoni??
ni vile unapogundua uliingia chaka lazima ugairishe
Mapenzi ya siku hizi yana maigizo mengi sana.
How she treat me with caring,Loyalty,Respect and AppreciationUtajuaje mtu anapenda toka moyoni??
Zile mbwembwe zaSo ni vipi utajua igizo