Kwanini amtongoze rafiki yangu

Unadema dema kufanya maamuzi sababu jamaa mpunga anao. Mpunga usingekuwepo tusingepata hizi story kwako jamaa ndo angefungua thread hapa Kaachwa. Maisha Raha sana Wanaume tafuteni pesa. Hizi mtawanyoosha na kujaza server.
 
Ni kawaida hapa Bongo kutoka na shosti wa mumeo au mkeo......kuna yule mdada wa Bongo movie (Irene Paul), yeye kamuiba mume wa best yake na kuvunja urafiki moja kwa moja. Alikuwa anajifanya best na shosti yake kumbe alikuwa anamtaka mumewe.
 
Pamela si Ana papuchi, if yes no problem
 
...kama Pamela anatamaniwa kisa mshepu wake lakini wewe ndio unapendwa ubaya upo wapi? tamaa hazina kikomo dada hujawahi kwenda salon ukachagua kusuka style unayoipenda halafu ukitembeatembea ukamuona mdada mwingine ukatamani alivyosuka ungesuka kama yeye? na sisi ni hivyohivyo hata uambiwe uchague 20 hawatatosha utatamani wengine tu.!
Mytake: Angalia sahani yako na kula vya mbele yako.!
 
Dawa yake huyo mumbake tafuta na wengine wawili atajuta kutongoza tongoza ovyo.
 
Enzi zile TV zinaingia tz Mimi nilikua nayo. Wakati ule ilikua CTN na DTV. Mke wangu alikua anawakaribisha wenzake kuka kuangalia tiivii au Kanda za Yondo sister. Tabia Ile nilikua siipendi. Nilivyo ikomesha nilianza kumtongoza kila shoga yake aliyekuja home. Alipogundua nimewafyeka watatu tu Ile tabia ikafa.
 
Law of demand and supply
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…