Kwanini aliyeshindwa kuendeleza mgodi wa Kiwira asiporwe kama Sumaye alivyoporwa shamba?

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,889
Nasikiliza Clous FM. Inaonekana shida ya kiwanda cha Dangote ni uhaba wa makaa ya mawe. Makaa ya kitai yanatumika na Dangote, Kenya, Tanga etc.

Hilo linafanya wazidiwe na mahitaji. Kwanini serikali isifute umiliki wa mgodi wa Kiwira kwa sababu mmiliki wake ameshindwa kuuendeleza? Mbona Sumaye ameporwa shamba aliloshindwa kuendeleza? Je, mgodi si una faida kuliko 35 acres?

Mgodi huu ungekuwa unapiga kazi watu wa Tanga, Kenya, Arusha etc wangenunua makaa huko na huko kitai wangemuachia Dangote. Tena na umbali wangekuwa wamepunguziwa.
 
Acha majunguuu, mbona JK alishaurudisha NDC?
 
sidhani. watu wa NSSF walitaka kuwekeza wakakutana na kikwazo cha mmiliki. Lakini kama ni kwweli na hao NDC wameshindwa kuendeleza basi waporwe.
 
Tukienda kwa mtindo huo hata prezdaa nchi itamshinda maana atakuwa anaingilia anga za walio muweka pale we huoni daily wanaenda kumpa big ups White house unafikiri kinaongelewa nini kule?
 
Back
Top Bottom